Plot4Sale Jiji la Dodoma pata hati miliki ya ardhi ndani ya siku 14

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,182
1,490
PATA HATI MILIKI YA KIWANJA,NYUMBA AU ENEO LAKO(SHAMBA)NDANI YA SIKU 14.
Kama unamiliki kiwanja au shamba au Nyumba na haijawa bado na Hati,au hapajapimwa sasa unaweza kupata majibu ya maswali yako na ukaanza kumiliki Eneo na Kiwanja Kihalali kwa Mujibu wa Sheria za Tanzania.

HATI ni nini....
-Kifupi sana Hati ni Mkutaba wa kumilikishana Ardhi unaofanywa kati ya Serikali na Wananchi wake au Taasisi kwa mujibu wa Sheria ya Ardhi,ni mkataba unaotangaza kukutambulisha kwenye Taasisi nyingine ndani na Nje ya Nchi kuwa hiyo Ardhi Serikali yako imekupa kumiliki na kufanyia Matumizi kadri utavyoona inafaa bila kuvunja Sheria za Nchi.

Kumbuka hii ni Dodoma(Jiji la Dodoma na Wilaya zote za Dodoma pekee.....

@DLC2022 Ina kuletea huduma za Kusaidia kutafuta
HATI MILIKI YA NYUMBA,KIWANJA AU SHAMBA.
Huduma hii tunakupatia ndani ya siku 14 kwa Eneo la Makazi au Nyumba ya Makazi lakini kwa Eneo la Biashara na Hati Kubwa siku 21 unakuwa umeshapata Hati zako.

Kwenye maeneo ambayo hayajapimwa pia tunatoa huduma ya kufatilia au Kupimisha na bei zetu ni nzuri kulingana na Ukubwa wa eneo husika,jiamini pimisha shamba lako au eneo lako.

Pia kama unafatilia documents zako Jiji au Wizara ya Ardhi tunaweza kukusaidia kwa bei nafuu kabisa na utafanikisha kila kitu ndani ya siku 14,iwe unafatilia Ramani,Invoice au michoro na Ramani za Ujenzi wa Nyumba pia Vibali vya Ujenzi.

FAIDA ZA KUWA NA HATI MILIKI.
1.Unakuwa na Uhakika kuhusu Umiliki wa Ardhi yako au Nyumba.
2.Eneo,Kiwanja au Nyumba yenye Hati ina Thamani kubwa kuliko ambayo haina hata Serikali ikipangia matumizi hiyo Ardhi unalipwa vizuri bila usumbufu.
3.Unaweza kukopea au kuweka dhamana Mahakamani kwakuwa upo kwenye Mfumo rasmi wa kumiliki Ardhi.
4.Hata ukiwa haupo(Umekufa)unao waacha hawapati usumbufu kuhusu kurithi eneo hili kulingana na Maelekezo yako.
5.Kiwanja/Nyumba/Shamba ni Hati asikwambie mtu.
6.Ni kibari Maalumu ambacho serikali inatoa na kutambulisha Mmiliki so unakuwa una Ardhi na Serikali inakufahamu.
7.Nyingine nyingi

@DLC2022
IMG_4394.jpg


Piga/Whatsapp/Sms
+255 (0) 625646266
 
Back
Top Bottom