Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 5,895
- 11,791
Sina mengi ya kusema ika kwa sasa jiji la Dodoma linakua kwa spidi kubwa sana.
Ndani ya miaka kumi ijayo Dodoma itakuwa Las Vegas of Africa. Na hali yake ya kuwa nusu jangwa, jua linawaka vizuri hadi raha. Hata ukiangalia picha za Dodoma asilimia kubwa mazingira yake yanang'aa.
Kuanzia ujenzi wa mji wa Kiserikali wa Magufuli City, NCC Link, Airport ya Msalato, Treni ya umeme, barabara za ndani ya mji, Dodoma Outerring roads, miradi ya NHC, Ikulu mpya, stendi nzuri ya mabasi nk Dodoma inakua kwa kasi sana
Kwenye hii video angalieni jinsi jiji letu linavyong'aa
View: https://youtu.be/qGt02uSe59I?si=D9-pEVLLdIKpFGkg