Jiji la Dar na vitongoji vyake: Mikasa, vituko, vitimbwi na matukio

Jiji la Dar na vitongoji vyake: Mikasa, vituko, vitimbwi na matukio

Ubungo stend sitapasahau 2004 nipo pale nasubiri mgeni toka mkoa ghafla anatokea kijana msafi na mpole ameshika vocha ya elf5 tigo. Akaniuliza mwanangu unatumia mtandao gani nikajibu tigo, akasema ok naomba niweke vocha nimuulize mgeni wangu amefika wapi halafu itakayobaki ntakuachia. Dah tamaa zikaniingia nikajiuliza hapa akitumia sana ni elf1 so itabaki elf4, basi buana si nikampa kimobitel changu. Jamaa akweka ile vocha ila sijui kama aliweka kweli, akaanza kuongea 'Aunt umefika wapi?..eeh sikusikii vizuri' huku akiendelea kusogea anatafuta utulivu. Hahaha kilichotokea jamaa akaingia upande wa pili sikumuona tena hadi naandika uzi huu. Na Simien yangu ikapotea hivyo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pole s

Pole sana
 
Nakumbuka enzi zile nikiwa na ugumu nasogea maeneo ya Buguruni kuna bar moja pale ipo barabarani sijui inaitwaje bana, nakaa zangu bar nachagua mtoto mmoja mwenye mambo yetu yale bei mteremko tu 5k-10k inategemea na kiwango, ila ukikuta mtoto Laini mpaka 15k-20k. Dah maisha haya sasa hivi tunakula zaki philipino, brazil, na kizungu hata $200 poa tu huumii.. Ila dada zetu bwana watamu hasa ukikuta mtoto laini na anajua kuliendesha gari balaa na sio hawa wanajifanya kudai haki sawa na mbwembwe nyiiingi wakati burudani zero..

Kuku wa kienyeji mitaa fulani ya keko pale hatari tupu, lakini kufika haya maeneo inatakiwa uwe mbishi na nunda sio hawa ndugu zetu mpaka 25yrs kulala kwa baba na matumizi kwa baba, Uswazi bwana ni elimu tosha na maisha unaweza kutusua popote pale ndio maana hata ulaya na marekani wanaotusua na kuwa na connection ni watoto wa kiswazi na hawa mboga saba huwa wanalialia tu, mtu anaenda UK kwa shangazi matumizi yanatumwa kutoka Bongo kwa Dingi mwishowe wanaishia kuwa mashoga au kurudi Bongo na vieleni sikioni..

Hapo Kinesi Cup sasa ukute game inapigwa Friends ranger vs Messina, Kagera Ranger vs Nyarugusu, Las Vegas vs Faru dume au kule Ilala ukute Boom vs Ashanti ilala.. au ukute game inapigwa Friends ranger vs Beach boy ya kigamboni.. au Swanzi inter na sheki utd, Sinza star vs Abajalo. Yaani hizo game ni zaidi ya derby ya Madrid vs Barca maana zikipigwa hizo uwanja unakuwa full na watemi ndio wanaoweza kuzunguka kwenye chaki na kuongea, ikifika dakika ya 75 wanyonge woote utawakuta nje na refa hachezi mbali na geti maana ya game kifuatacho ni hatari kama hujui kurushu jebu right jebu left au mambo yetu ya karate yale lazima uumie.. watotot wa uswazi kila mtu boxer ukizingua unachukua left hook au ambakati unakaa..
 
Mbagala ranging tatu hapa tuna club yetu masaakuu kila JMS kanga moko ukiwa Na buku unaikunja unaenda kutunza kwa kuipachika kwenye k kama unamitano ruksa kunawa Na kupiga madole uku miguu ikiwa juu kama antenna apo kavaa mtandio tu wapenda deo wanawahi siti za mbele huku wakikatiza ma changu was kila sampuli buku tatu chumba ndogo maelewano mbagala sihamiii watoto wa kibendela pigakelee
 
Mambo ya small garden na ulaya ulaya kagera moja karibu na Manzese
 
Miaka ile vijana wanazamia sana Afrika Kusini na Ulaya,nimekwenda Kutembea Magomeni kwa Mzee mmoja alikuwa mkuu wa kituo cha polisi pale Magomeni,Mnyamwezi wa Tabora,mwanae kaenda Ubelgiji huko halafu kaamua kuchana passport.

Sasa mimi nikadhani mzee atakuwa anasikitika kuwa mwanae kajitoa muhanga,kumbe wapiii...Dingi ndio kwanza anasema "Mwanangu katusua mami",bado kidogo na mie ntakwenda Ulaya.Nikaona hawa wazee wa Magomeni ni wajanja wajanja kama watoto wao.

Siku moja nimeenda Mwananyamala,kule wanaita kwa Mama Zakaria mpakani na Makumbusho,nakuta watu wamejaa,kijana amekufa baada ya kujidunga midawa kupita kiasi,yaani alijidunga mpaka mishipa yote ya mwili ikapotea,sasa akawa anajidunga kwenye uume,ili apate mshipa kidogo,anaikunja mashine anaifunga na uzi anaisugua kama kupiga punyeto anavizia mshipa anajidunga.

Siku na siku,akafa na sindano inaning'inia kwenye uume,kaja Mzee wake,akiitwa Mzee Ndevu,kakuta mwanae kashafariki,akaanza kuitandika bakora ile maiti anasema kamtia aibu.Kweli huo mji una majanga.

Siku moja napita maeneo ya Kurasini,tunakwenda na familia ile nyumba ya Watoto Yatima ilikuwa karibu na Indian School,tunakatiza hivi tunakuta mateja wanazabana makofi ya usoni,tukasema hawa wanapigana au?Maana ni makofi ya nguvuuu wanatandikana juu ya masikio,kutuona sisi,wakanisimamisha.

Teja mmoja anasema bro mkubwa tusaidie,njoo utuzabe kwa zamu,maana sie nguvu za kulegalega,sasa kumbe unatakiwa umzabe kofi la maana pembeni ya macho ili mshipa usimame ajidunge,sasa nikawa najiuliza hapa leo tunatoka salama kweli?Maana waliponiona wakanizunguka kama saba hivi,wapo zamu kwa zamu mjomba,mmoja mmoja ndio mpango.

Wapo tukimuacha huyu jua ndio linazama,tutalala nacho....Basi nikamtandika wa kwanza,yupo bro ongeza msuri...hapa hakuna kuremba,piga ki-Matumla,ngoma inyanyuke nipate steam.Basi nilivuta kofi moja....Nikasikiaa mwingine kwenye foleni anasema braza mkubwa hiyo ni starter ya mbaula nimeikubali...Leo kitu kitaingia mpaka kwenye unyayo!!

Sasa akitandikwa mmoja,mwingine anawahi na sindano kumdunga mwenzake kabla mshipa haujasinyaa,siku ile ilikuwa nakumbuka ilikuwa siku ya mtoto wa Afrika,ilidondokea weekend,nikawabeba familia kwenda Kurasini Nyumba ya Yatima...Nashukuru yote yalitokea machoni pa wanangu,sikuhitaji shule nyingine tena ya kuwaambia madhara ya madawa ya kulevya,maana huyu mmoja ndio katikati ya kuwapiga mateja vibao,alianza kutoa machozi.

Huo mji wenu ni balaa sana,ukisalimika shukuru Mungu....
 
HAHAHA huku kwenye mada hizi kote ni uswazi eeeh .............. ungeandika uswahilini kuna vitukoo.......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa Sinza utaandika nini zaidi ya mademu kupangishiwa UPANDE na wazee wa bandari... By then lakini... Halafu kuna mlolongo wa washika dau.. Kuanzia friji, sofa, zulia, mapazia, simu, mpaka starehe
 
Kuna usemi maarufu wa kilevi chenye kimea aina ya Safari laga.. Maji rangi ya mende... Maji ya Ilala moja.. Unasema SAFARI MOJA HUANZISHA NYINGINE... Sasa hapa ni tofauti hapa ni uzi mmoja huazisha mwingine....
Tulianza na uzi wa James Ngomero bingwa mtuhumiwa wa zile maiti 11 za watoto wadogo Mwananyamala hospital uzi huu ukazaa vituko vya Mwananyamala mtaa kwa mtaa... Tumeona jinsi wana JF wengi ni ama wakazi au walishawahi kuishi Mwananyamala.. Uzi umekuwa ni burudani tosha kutokana na vituko na simulizi zake... Lakini Mwananyamala ni sehemu ya Dar na kuna mitaa mingine pia nje ya mwananyamala nayo ina vibweka vyake... Karibuni tutoke nje ya mwananyamala sasa...

Ubungo mpaka Mabibo
Tandale mpaka Magomeni
Manzese mpaka Mburahati, usisahau Kigogo
Kariakoo mpaka Ilala
Temeke, Davis corner.. Kwa Aziz Ally kwa Kabuma moja, mtongani hadi Mbagala
Haya ni maeneo yaliyotengeneza headlines na kuna watu mpaka leo hii ukiwaambia umeishi mojawapo ya mitaa hii anakuangalia kwa jicho lingine... Kwa kifupi ni kwamba kuishi mojawapo ya mitaa hii ni darasa tosha sana...
Kuna maeneo mengi sijayataja kutokana na kuwa hayana impact kivile na kama kuna matukio basi yalitokana na huko kwingine.. Kuna Mikocheni, Masaki, Sinza, kijitonyama, Mwenge Chuo kikuu Kawe Bunju Tegeta Tabata nknk

Tuanzie Ubungo mpaka Mabibo... Hapa ndio ilikuwa kama lango la jiji... Washamba wengi sana waliokotwa hapa.. Wa mikoani, wa kushangaa na kushangaza.. Mahouse girl wapya wa kupotea na kupotezwa... Dili za kupigwa bidhaa bandia marashi maji, simu kipande cha sabuni.. Kuuziwa gazeti la mwaka juzi.. Vidani bandia.. Madini bandia... Hiyo ni Ubungo
Mabibo kuanzia Maziwa... Ujambazi wa kutisha, madawa ya kulevya.. Wapigani na wapanga mipango ya wizi na utapeli.. Mabarmaid wengi wanaishi Mabibo na manzese...

Tandale Tandale Tandale.... Acha kabisa hii mitaa.. Wanasema akili kumkichwa.. Hata mtoto mdogo ni mpigani.. Tandale ndio mitaa pekee.. Pengine na manzese ambapo kuna watu wanatoza fedha kwa kuuliza njia.. Kuuliza kuna bei yake.. Kupelekwa kuna bei yake
Magomeni kukiwa na kaustaarabu fulani lakini ni machimbo ya madon wa madawa ya kulevya.. Ishu za kuzamia ulaya.. Masea men.. Umalaya, ushoga nk.. Mnaikumbuka kwa macheni? Lango la jiji je? Kwa Bibi nyau usisahau

Manzese mpaka Mburahati...
Dah mitaa hii, anzia mpakani Magomeni kagera.. Njoo Argentina, tiptop (lambo hotel), panda midizini, Mabibo makutano, Mburahati mpaka Kigogo.... Kwenye asili ya komando yosso, watoto wa mbwa, panyaroad nk.. Huku kunaongoza kwa gesti za bei poa na malaya mpaka wa jero.. Vibaka na wezi wengi wana asili ya huku.. Nani hajawahi kusikia manzese kwa mfuga mbwa?
Chawote bar Kigogo.. Ukitaka burudani za uswazi panda daladala ya Mabibo Kariakoo.. Huko ndio kuna kamusi za matusi na watu wamezikariri

Kariakoo mpaka Ilala... Kariakoo ni pakacha bovu... Achana na wandewa, wamanyema na wadosi.. Pale ni kiwanja cha wote... Kutoka huko kwingine kote.... Yani kariakoo ni sawa na choo cha jiji..
Ilala nyoronyoro sana kubweteka ubishoo na dili Safisafi... japo kuna vilinge vya ulozi pia.. Si haba kwenye hii kaliba... Kina sharifu wanaotibu kwa vitabu.. Vyuo vingi vya ujanja ujanja pia vipo mitaa hii na zile ofisi zetu zile.. Japo wamiliki wake si wenyeji wa Ilala

Temeke moja hiyo... Hapa sasa usisahau Keko acha kabisa hili eneo, wizi uchawi umayala na mambo yote mabaya na machafu, njoo kurasini yote... Kwa aziz Ally wazee wa mchiriku, temeke Mwisho mpaka kwenye lile soko maarufu walikojaa wapemba Tandika.. Uwanja wa sifa mpaka kwa kabuma... Jongea mtongani mpaka mbagala... Acha kabisa hayo maeneo

Tumalize na Vingunguti, banana mpaka Goms... Ukisikia Jf inawika, inatamba, inashamiri na kukubalika sana mpaka watu wanafikia kudhani wana JF wote ni wakazi wa Dar tambua kwamba inaunndwa na vichwa mahiri kutoka hayo maeneo na mengine ambayo sikuweza kuyataja hapa

KARIBUNI KWA VISA NA MIKASA TOKA PANDE ZOTE ZA DAR NA VITONGOJI VYAKE

Akamatwa kwa kuiba Majeneza, moja la Mtoto na la Mtu Mzima
 
Miaka ile vijana wanazamia sana Afrika Kusini na Ulaya,nimekwenda Kutembea Magomeni kwa Mzee mmoja alikuwa mkuu wa kituo cha polisi pale Magomeni,Mnyamwezi wa Tabora,mwanae kaenda Ubelgiji huko halafu kaamua kuchana passport.

Sasa mimi nikadhani mzee atakuwa anasikitika kuwa mwanae kajitoa muhanga,kumbe wapiii...Dingi ndio kwanza anasema "Mwanangu katusua mami",bado kidogo na mie ntakwenda Ulaya.Nikaona hawa wazee wa Magomeni ni wajanja wajanja kama watoto wao.

Siku moja nimeenda Mwananyamala,kule wanaita kwa Mama Zakaria mpakani na Makumbusho,nakuta watu wamejaa,kijana amekufa baada ya kujidunga midawa kupita kiasi,yaani alijidunga mpaka mishipa yote ya mwili ikapotea,sasa akawa anajidunga kwenye uume,ili apate mshipa kidogo,anaikunja mashine anaifunga na uzi anaisugua kama kupiga punyeto anavizia mshipa anajidunga.

Siku na siku,akafa na sindano inaning'inia kwenye uume,kaja Mzee wake,akiitwa Mzee Ndevu,kakuta mwanae kashafariki,akaanza kuitandika bakora ile maiti anasema kamtia aibu.Kweli huo mji una majanga.

Siku moja napita maeneo ya Kurasini,tunakwenda na familia ile nyumba ya Watoto Yatima ilikuwa karibu na Indian School,tunakatiza hivi tunakuta mateja wanazabana makofi ya usoni,tukasema hawa wanapigana au?Maana ni makofi ya nguvuuu wanatandikana juu ya masikio,kutuona sisi,wakanisimamisha.

Teja mmoja anasema bro mkubwa tusaidie,njoo utuzabe kwa zamu,maana sie nguvu za kulegalega,sasa kumbe unatakiwa umzabe kofi la maana pembeni ya macho ili mshipa usimame ajidunge,sasa nikawa najiuliza hapa leo tunatoka salama kweli?Maana waliponiona wakanizunguka kama saba hivi,wapo zamu kwa zamu mjomba,mmoja mmoja ndio mpango.

Wapo tukimuacha huyu jua ndio linazama,tutalala nacho....Basi nikamtandika wa kwanza,yupo bro ongeza msuri...hapa hakuna kuremba,piga ki-Matumla,ngoma inyanyuke nipate steam.Basi nilivuta kofi moja....Nikasikiaa mwingine kwenye foleni anasema braza mkubwa hiyo ni starter ya mbaula nimeikubali...Leo kitu kitaingia mpaka kwenye unyayo!!

Sasa akitandikwa mmoja,mwingine anawahi na sindano kumdunga mwenzake kabla mshipa haujasinyaa,siku ile ilikuwa nakumbuka ilikuwa siku ya mtoto wa Afrika,ilidondokea weekend,nikawabeba familia kwenda Kurasini Nyumba ya Yatima...Nashukuru yote yalitokea machoni pa wanangu,sikuhitaji shule nyingine tena ya kuwaambia madhara ya madawa ya kulevya,maana huyu mmoja ndio katikati ya kuwapiga mateja vibao,alianza kutoa machozi.

Huo mji wenu ni balaa sana,ukisalimika shukuru Mungu....

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila barafu story ya Mzee ndevu bado naikumbuka sana na bado huwa naona yule mzee kapinda akapindika
 
Back
Top Bottom