Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,402
- 1,618
ndo tatizo la kuwa mrefu kama kojo la asubuhi, huwezi kupata size yako nenda MOI wakupunguze fito hizo
Unatafuta sample au ni utafiti wa,kiuchokozi?
Takwimuu siku za nyuma zilikuwa zinaonyeshaje?
Mbona mamiss wengi ni wakazi wa Dar unataka tuamini kwamba mwanamke mfupi anaweza kuwa mrembo?
Mbona mi nawaonaga warefu wengi tu.mkuu