Excel ni kosa kumiliki zaidi ya ID moja hapa jukwaani kuna uzi wa mods kule CC naomba ukaupitie tena unaotahadharisha kuhusu hilo
Kuna watu wa ajabu sana humu JF, sasa nimehakikisha hilo. Wapo wengine kutwa kuchwa wanatoa post za udini udini tu kujadili na kukosoa dini za watu!Lakini na hawa wa MMU ndo wananichosha kabisa, yaani kumbe baadhi ya matani ya humu si matani ni serious relationships? Ptuuuu!
Sioni sababu nyingine zaidi ya kificha uovu na madhambi tu. Lazima multiple IDs zinahusiana na ubazazi. Nikimtongoza Khantwe (samahani kwa kukutaja) kwa kitumia Eli79, siwrzi kumtongoza ICHANA (samahani tena) kwa ID hiyo coz huenda wanajuana na kuambiana mambo...so lazima mmoja nitatumia ID nyingine. Hata #LoveConnect mara chache utaona hizi common IDs, nyingi huwa ni mpya...something fishy is going on aisee
Lakini nimekumisi ujue...ha ha ha ila waambie ukweli mimi na wwe tuna ID moja moja tu
najiuliza sna huu upuuzi wa kutumia ID mbili ni utumwa wa kifikra ,,,ID eyewe fake still unakuwa na mbili ili ufanye upuuzi.
tabia za watu wengine za ajabu sana
ha ha ha ila waambie ukweli mimi na wwe tuna ID moja moja tu
najiuliza sna huu upuuzi wa kutumia ID mbili ni utumwa wa kifikra ,,,ID eyewe fake still unakuwa na mbili ili ufanye upuuzi.
tabia za watu wengine za ajabu sana
Kuna watu wa ajabu sana humu JF, sasa nimehakikisha hilo. Wapo wengine kutwa kuchwa wanatoa post za udini udini tu kujadili na kukosoa dini za watu!Lakini na hawa wa MMU ndo wananichosha kabisa, yaani kumbe baadhi ya matani ya humu si matani ni serious relationships? Ptuuuu!
Lakini nimekumisi ujue...
Hallo Invisible, hii thread ni ya ushauri. Hebu ihamishie Complaints Congrats and AdviceKuna thread iliyotikisa usiku wa Jana mpaka muda huu ihusuyo wachumba wa JF. Mhanga wa hiyo habari ameamua kuvunja ukimya na kuweka kila kitu hadharani kwa masahibu aliyokutana nayo kwa wachumba aliowapata kupitia hapa jamvini.
Mengine mengi ni mambo binafsi nje ya jukwaa lakini baya zaidi ambalo linaweza kuathiri jukwaa ni hili la mtu moja kuwa na multiple IDs na kufanya mambo ya ajabu.
Dada muathirika amefungua njia kwa kuweka uozo wa wahusika jamvini sense mbali zaidi aripoti hili jambo kwa mods aweke ID zao zote na ikibidi wapigwe life ban.
Wakati Wengine tukichukulia jukwaa ni sehemu ya kukutana na kubadilishana mawazo uzoefu na kupeana maarifa na elimu kuna wapuuzi wachache wamegeuza jukwaa kama kijiwe cha ghiliba na mambo ya kishenzi.
Kama unajitambua una tabia hii acha la sivyo UTAISHIA SHIMO LA TEWA
Umuhimu wa Id mbili ni moja ikipigwa ban unaingia na nyingineee
nnimekumisije....
my wii jana hukuniita kule mwenzio nipate umbea ukiwa moooto
Nami nimekumiss wii siku hizi umebanwaa ndio maana sikukuita nilimuogopa kaka si unajua sasa hivi kibaridiii hiki tabu tupu
ha ha ha ha chezea mahaba nipoteze wivu lazima na kubanana kwa sana....hujui wivu unachochea penzi:llama: