Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,361
- 10,422
Uwakose!!!My dushelele is as big as that of horse so women should take care of their private parts that's why I say it's better to be known widely so that everybody can take precaution.
Uwakose!!!My dushelele is as big as that of horse so women should take care of their private parts that's why I say it's better to be known widely so that everybody can take precaution.
HATARI ZA SIRI ZILIZOPO KWENYE MAHOTEL NA LODGE !!!
View attachment 3279888
Najua watu wengi tunapenda kwenda kulala kwenye lodge, hoteli mbalimbali lakini umeshawahi kufikiria au kudadisi ukiingia kwenye chumba ulichopanga hoteli kukichunguza kwa dakika kadhaa ??
.View attachment 3279889
Haijalishi wewe ni jinsia Gani Mwanaume au mwanamke lakini suala la Usalama wa faragha yako ni muhimu sana !!!. Kuna jamaa mmoja ambaye ni mfanya usafi amekamatwa kwa Kosa la kutega Kamera kwenye bafu la kuogea kwa wateja.
View attachment 3279891
Mwanamke huyo Aliweza kugundua Uwepo wa Kamera kwenye kopo la Sabuni ambayo iliyokuwa imefichwa ndani ya chupa harpic kwenye choo.
View attachment 3279892
Mwanamke Aliweza kuona jambo lisilo la kawaida kwenye hiyo chupa ya harpic, alipozima Taa Aliweza kuona Mwanga unatoka kwenye hiyo chupa ya Sabuni aliposogerea ndipo akaona Kuna Kamera imetegwa ikitizama kiti cha choo.
View attachment 3279893
Ilikua inarekodi kwa zaidi ya lisaa ndani kulikua na simu baada ya uchunguzi ikabainika simu ilikua ya mfanya usafi
View attachment 3279894
Kumbuka ni muhimu kukagua vyoo vya umma kabla ujaanza kufanya huduma yoyote ili uwe sala
ma zaidi.
Najua wale wanaojiona wameshindikana watakuja lakini nikiwaumiza sinankosa Kwa maana nimeshawatahadharisha.Uwakose!!!
Yaweza kutokea mfumo wa mwili ukakusukuma kuegesha kwenye parking isiyo rasmiCamera zipo kwa ajili ya usalama; Kama sina nia mbaya na sio Mhalifu nina wasiwasi gani?
AstaghafilullahWaweke wasiweke watashuhudia tu muwa wangu utakoatamanisha wanawake pamoja na mashoga.
Hivyo yaani!!
Yaweza kutokea mfumo wa mwili ukakusukuma kuegesha kwenye parking isiyo rasmi
Umesahau na Matrako tutayaona mkuuHivyo basi kamera ziwekwe kwa wingi ili kwamba umbile langu kubwa na refu lijulikane kwa watanzania wote.
Hahaha ๐Astaghafilullah
Hiyo haidhuru kwa sababu concentration ya watu itakuwa kwenye paipu tu.Umesahau na Matrako tutayaona mkuu