Jihadhari na Wakata Kucha

mke chan-gudoa atatiwa tuu hata ukimpeleka nyumba ya ibada. kujiheshimu ndio dawa pekee
 
Jamani hata jumapili anashindwa kukufanyia japo foot massage? Au ndiyo anataka akina Amavubi waendelee kukushikashika kila weekend?

nahisi ndicho anachotaka. au nimlete kwako umpe darasa?
 
nahisi ndicho anachotaka. au nimlete kwako umpe darasa?
Wengine hawadarasiki...wivu umewajaa mwili mzima. Kama hana wivu basi niko teyari kumpa darasa lakini kama wa wivu basi nawaachia akina Amavubi waendelee kujinoma na mali za watu.
 
Wengine hawadarasiki...wivu umewajaa mwili mzima. Kama hana wivu basi niko teyari kumpa darasa lakini kama wa wivu basi nawaachia akina Amavubi waendelee kujinoma na mali za watu.

hahahahahh, haya bana.
 
MillionHairs naomba mumshauri atoe na usia kabisa maana hapo mwenge nyuma ya kituo cha mabasi ni balaa mzee wa watu Baba V atatutoka hivi hivi.
Ha ha haa umenikumbusha kitu...kuna mshikaji wangu mmoja(Nailer art) siku moja aliitwa kwenye zile nyumba za TPDC maeneo ya Mikocheni kwa kwenda kutoa huduma ya Pedicure na Manicure, karibu na kumaliza ghafla akatokea mume wa yule mama ambaye anatengenezwa kucha na mshikaji wangu...mzee akashuka kwenye gari na akaona mke wake amelala usingizi wa pono pale sitting room huku miguu yake imepakatwa na inafanyiwa soft massage na jamaa wa kucha.

Yaani mzee hakutaka Salam wala kuuliza kitu...alichofanya ni kumwinua huyu mshikaji wangu kwenye ile sturi aliyokuwa ameikalia na kuanza kumpiganayo kichwani hadi akamtoa damu...jamaa yangu akaanza kutimua vumbi huku madamu yanamtoka na yule mzee aliendelea kumfukuza hadi getini ndipo akamwacha. Kibaya zaidi hakulipwa pesa zake na vitendea kazi vyake vyote aliviacha pale pale. Ni true story
 
hahahaha kijiwe utakiwekea wapi nikutafutie wateja.

Mtu wangu hii ntaanza kwa kuwafuata makwao, kikichanganya nafungua ofisi kwenye gest yoyote inayofikika kirahisi..
 
enhhh! kumbe I can do this as part time job...
Nakukata kucha.. then nafanya foot massage... then nakushtua kidogo kisigino
ukisema auu!!.. nakubinya kidogo kwenye ungio la goti.... ahhhh mbona dakika 0 tu..:yo:
 
aisee kwahiyo umetumia njia gani katk utafiti wako questionare au interview?namimi nataka nifanye..

tangazo- nakata kucha,nakanda miguu,massage ya shingo na mabega- ni kwa wadada tu na wa mama kuanzia miaka 18-32 tu. Karibuni.
 
Mtu wangu hii ntaanza kwa kuwafuata makwao, kikichanganya nafungua ofisi kwenye gest yoyote inayofikika kirahisi..
hiyo gesti hakikisha iwe karibu na jengo la ibada ili mambo yakiharibika iwe rahisi kwenda kutubia.
 



hii aione Baba V nimecheka kweli kweli hata hivyo watu wanasema ni ajali kazini.
 
Last edited by a moderator:
mh...ila kwakweli me vitu vingine wala sikubalianagi navyo! kama mtaniona conservative mnionetu....hivi jamani mdada kabisa, tena msomi/wakisasa kucha mpaka ukasafishwe na mtu mwingine!! ukiniambia kutengenezwa nywele sawa, wala sibihi, ila kucha!!! hapana, me hata wangu sinto mruhusu...vitu vingi tunaiga sana, halaf me nilidhani pengine mnakwenda shule ili aikii zenu ziwe huru kumbe wpi, ndio kwanza mnafuata mikumbo na kuiga had vitu vya ajabu......
 

Me mwenyewe nina mpango wa kufanya utafiti kwa vitendo,nimeshamtuma mtu akaninunulie kapu na mazagazaga yake jmosi naingia mzigoni.
 
usione vyapendeza....vimegharamiwa


au unataka hivi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…