Jihadhari na pepo

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,577
44,818
Pepo ni roho wachafu au wabaya wenye nguvu za kishetani wanaoweza kumshawishi mtu atende mabaya na hata kumwingilia kwa lengo la kumharibia maisha yake kiroho na kimwili.

Roho hizo huweza kufikia hatua ya kumpagaa mtu ili kumwendesha afanye mambo mbalimbali kwa kutojielewa kuliko kwa kulewa sana, kama vile kuropoka, kupiga, kurukaruka, kufanya uasherati.

Pepo ni internet inakuja na Upepo kisha mapepo yanatoka columbia,states,africa,japan,kote pande zote za ulimwengu wanapatikana Instagram, tiktok,facebook,xxx sites,n.k wao ndo wanaowalaza watoto wa watu kitandani na kuwafanyisha punyeto ama ngono inayovuka mipaka biashara ya aibu kabisa.
Sasa ndugu yangu pepo kweli ni kitu ya kukushinda kabisa si uzikate hizo internet au uzitumie vizuri kwa faida twendeni kwa kina Yesu na kina muhamad ndugu zangu
View attachment 2490336
 
Umegusia nyeto.
Umegusa Genge kubwa sana.
Ni jeshi kabisa hilo.
Kukosea sio mwisho wa yote tuna takiwa tuwe serious kulielewa hili kabla siku hazijapita ili turelax nafsi tusifanye hizo issue na hao maroho machafu malaika waliotupwa baada ya kuiacha enzi yao.
 
Pepo langu hataki kutoka unanisaidiaje nimeshindwa kulitoa
Acha smartphone kwa muda wa week mbili tumia siku hizi kufanya mazoezi asubuhi na jioni..mapepo yapo kwenye social network kahaba mkuu jizebel anayewatupa wengi kitandani na kuwaua .mapema sana mkimbie
 
Tofauti ya pepo na peponi......
Mwongozo
Peponi ndo makazi ya pepo yaani mapepo yote yanatoka peponi......mfano ukisema nyuma/nymbani, kanisa/kanisani
Sasa tukiwapinga pepo tufakikaje kwao peponi yaani wakija duniani tuwafukuze siku ukienda kwao......alafu kila siku mpo mnaomba Mungu awapeleke peponi
 
Tofauti ya pepo na peponi......
Mwongozo
Peponi ndo makazi ya pepo yaani mapepo yote yanatoka peponi......mfano ukisema nyuma/nymbani, kanisa/kanisani
Sasa tukiwapinga pepo tufakikaje kwao peponi yaani wakija duniani tuwafukuze siku ukienda kwao......alafu kila siku mpo mnaomba Mungu awapeleke peponi
Pepo wametupwa peponi.ole kwa dunia na wakazi wake
 
Yaan kuna mke wa mtu ameniganda hapa japo sijapiga ....ila msg anazotuma hapa nahc naenda kushndwa kabxa kusimamia msimamo wangu wa kutowala wake za watu...nmemkazia ile ile ila bdo naona anakomaa tu...hadi mpk nmehic amepanga na mme wake waje wanifumanie....yaan anadai anachotaka ni rungu tu kashanidanganya hapa kwanz mme wake kesho anaenda kwany msiba ilimradi tu nimuwekee kichwa cha kobe...nahc hao pepo anaosema mtoa mada huyu mwanamke ni miongon
 
Wengi wanaopost picha za UCHI ni mapepo.Wamejaa Instagram, TikTok, Telegram, Twitter, Facebook na wengi wao ni Pepo wanawake.Wanapost picha za kuonesha matiti yakiwa wazi,mapaja wazi,magauni yanayochora matako haswa, wanavaa suruali zenye kuonesa k*ma live live BIla chenga .Ukikutana na picha zao mtandaoni usidhubutu kuangalia mara mbili maana utajikuta umeanza kujichua .Wanavaa mavazi ya kuamsha hamasa ya ngono.Wanatumia mafuta ya kiushawishi yaliyonenewa maneno ya laana na kuyapaka matitini Kisha kuacha hayo matiti wazi Kinachofuata ukiwaona hizo picha zao za kuwaonesha matiti huchomoki salama utajikuta umeenda kuchukua mafuta au sabuni na kujikanda sehemu za Siri Kwa kutumia hizo picha.Ikiwezekana tuache kutumia mitandao ya Jamii ni mitego ya shetani .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom