Jifurahishe na remote yoyote

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
wengi wetu hua hatuoni na wengine hata hatuamini remote zina mionzi well kama unataka kuiona au kuamin ipo chukua remote yoyote inayofanya kazi then chukua camera hata ya simu yoyote sasa point remote yako direct kwenye kamera anza kuiminya hapo utaona kuna mionzi je umefurahi ntakuja na thread nyingine ya kuona mionzi ya blue tooth
 
haha zamani nkitengeneza rimoti hio ndo ilikua testing yangu nafkiri mpaka sasa mafundi wanatumia njia hio

Hio mionzi ndo infrared ndo mana simu za infrared zinaweza tumika kama rimoti.
 
hahahhaha umenikumbusha enzi zile demu wangu alikuwa ana nokia ya infra red mimi na siemens c25 hahahhahahha alikuwa ananirusha balaa
 
shiny c; Mbona huji na hiyo thread nyingine?
 
Last edited by a moderator:
wengi wetu hua hatuoni na wengine hata hatuamini remote zina mionzi well kama unataka kuiona au kuamin ipo chukua remote yoyote inayofanya kazi then chukua camera hata ya simu yoyote sasa point remote yako direct kwenye kamera anza kuiminya hapo utaona kuna mionzi je umefurahi ntakuja na thread nyingine ya kuona mionzi ya blue tooth

nimejaribu kwenye camera ya cm yangu lakin cjaona chochote au cjaelewa vizuri
 
Back
Top Bottom