Jifunzeni uchawi wa Computer Computers Can Read Your Mind!

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,863
30,307
Karata zinaweza kusoma akili yako haya jaribu kucheza. Kabla ya kuche uwe muangalifu wa kuchagua karata yako kisha bonyeza hapo palipo andikwa Here zitafunguka karata unachotakiwa uchague karata moja tu uiweke moyoni mwako

Computers Can Read Your Mind!
This site will attempt to read your mind, please follow the instructions carefully.
Click here when you are ready to start.

Ukisha bonyeza hapo palipo andikwa (Here) itafunguka hivi angalia hapo chini

I shall now attempt to read your thoughts. Please mentally select a card and concentrate on it.

cards1.gif
After you have memorized your card, please click here.Sasa chagua karata yoyote ile unayo taka kwamfano mimi ninachagua karata ya K ya kopa kisha nitabonyeza tena hapo palipo andikwa hivi (Here)

kisha nitabonyeza tena hapo chini maandishi tena hayo yalioandikwa hivi (Here) hiyo karata niliyo chaguwa itakuwa imepotea ndio uchawi wenyewe wa karata jinsi zinavyokusoma akili yako jaribuni wabongo kisha munie feedback angalia sasa

Haya tena (K) ya kopa imekimbia ninashangaa Computer imejuaje kama nimechagua karata ya (k) ya kopa?The MASTER wizard has selected your card and has removed it from the pile.

cards2.gif
Surprised? Try it again with another set of cards.

Ukitaka kujaribu kivyako bonyeza hapa Magic - home: Computers can read your mind!
 
Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
15,334
Nilishawahi kuona moja, lakini yenyewe ilikuwa ukichagua mzungu wa nne inagoma kusoma isipokuwa zilizobaki..
 
AKON

JF-Expert Member
Feb 10, 2012
213
45
Hamna magic hapo ,, the trick is easy, mfano ikikuonesha karata nne mwanzo ukachagua moja,, ikileta majibu karata nne za mwanzo zote zinakuwa hamna, wewe unahangaika kuitafuta karata ulochagua unaikosa, then unakuwa deceived kwamba ni magic,, but the thing is karata za mwanzo na inazoleta baadae zote hazifanani.. Hakuna magic hapo mkuu
 
AKON

JF-Expert Member
Feb 10, 2012
213
45
karata zinaweza kusoma akili yako haya jaribu kucheza. Kabla ya kuche uwe muangalifu wa kuchagua karata yako kisha bonyeza hapo palipo andikwa here zitafunguka karata unachotakiwa uchague karata moja tu uiweke moyoni mwako

computers can read your mind!
this site will attempt to read your mind, please follow the instructions carefully.
click here when you are ready to start.

Ukisha bonyeza hapo palipo andikwa (here) itafunguka hivi angalia hapo chini

i shall now attempt to read your thoughts. Please mentally select a card and concentrate on it.

cards1.gif
after you have memorized your card, please click here.sasa chagua karata yoyote ile unayo taka kwamfano mimi ninachagua karata ya k ya kopa kisha nitabonyeza tena hapo palipo andikwa hivi (here)

kisha nitabonyeza tena hapo chini maandishi tena hayo yalioandikwa hivi (here) hiyo karata niliyo chaguwa itakuwa imepotea ndio uchawi wenyewe wa karata jinsi zinavyokusoma akili yako jaribuni wabongo kisha munie feedback angalia sasa

haya tena (k) ya kopa imekimbia ninashangaa computer imejuaje kama nimechagua karata ya (k) ya kopa?the master wizard has selected your card and has removed it from the pile.

cards2.gif
surprised? Try it again with another set of cards.

ukitaka kujaribu kivyako bonyeza hapa magic - home: Computers can read your mind!

karata za kwanza na za pili hazifanani,, angalia vizuri picha zako hapo juu karata za juu hazirudi hata moja na ndo maana hazifanani na za chini.... Kwa hiyo sio karata moja tu kama unavodai bali zote hazirudi,,, its a simple idiotic trick
 
NingaR

JF-Expert Member
Apr 15, 2012
2,759
574
hamna uchawi hapo, mwanzo kulikua na K♥ J♣ K♠ Q♦ Q♣ J♦ na za pili ni Q♥ K♣ J♥ Q♠ K♦ sasa hapo mkuu MziziMkavu kuna uchawi???
 
e2themiza

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
974
562
Hamna magic hapo ,, the trick is easy, mfano ikikuonesha karata nne mwanzo ukachagua moja,, ikileta majibu karata nne za mwanzo zote zinakuwa hamna, wewe unahangaika kuitafuta karata ulochagua unaikosa, then unakuwa deceived kwamba ni magic,, but the thing is karata za mwanzo na inazoleta baadae zote hazifanani.. Hakuna magic hapo mkuu
Mkuu you are absolutely correct haha..
 
Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,863
30,307
karata za kwanza na za pili hazifanani,, angalia vizuri picha zako hapo juu karata za juu hazirudi hata moja na ndo maana hazifanani na za chini.... Kwa hiyo sio karata moja tu kama unavodai bali zote hazirudi,,, its a simple idiotic trick
Mkuu AKON Hii nimefanya mimi kama kwenu iwe mfano wewe jaribu kivyako bonyeza hapa Magic - home: Computers can read your mind! Sisi Wabongo kwa ubishi tumezidi kila kitu tunajuwa ahhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Last edited by a moderator:

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,709
8,804
hahhah , So SIMPLE,
Chunguza SET NZIMA ZA KADI hazitokei ten awanaleta SET MPYA kwa maana hiyo hata ukichagua zote 5, hazito tokea hata moja!

what is the trick behind?..... nani ana fahamu hiyo?

Jibu nishakupa hapo juu, Jaribu kukariri karata zote alafu uone kama itatokea hata moja, wajanja, wao wanabdili set nzima ya karata, kwahiyo kwa vyovyote huwezi pata jibu sahihi hata ukikariri zote.
 
Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
15,123
16,433
Hamna magic hapo ,, the trick is easy, mfano ikikuonesha karata nne mwanzo ukachagua moja,, ikileta majibu karata nne za mwanzo zote zinakuwa hamna, wewe unahangaika kuitafuta karata ulochagua unaikosa, then unakuwa deceived kwamba ni magic,, but the thing is karata za mwanzo na inazoleta baadae zote hazifanani.. Hakuna magic hapo mkuu

Mkuu we acha tu, nimecheka nusura mbavu ziachane na nyama. Yaani hamna mi mtu akiniambia jambo lolote linalohusiana na karata basi huwa najua ni some kind of trick na hamna uchawi. Mwenyewe nimeshindikana kwa michezo ya kipuuzi. Ukikaa na Wataliano na Wahindi unakuwa mkali sana wa hivi vimichezo
 
Walas Ba

JF-Expert Member
Sep 6, 2012
3,252
1,481
Hamna magic hapo ,, the trick is easy, mfano ikikuonesha karata nne mwanzo ukachagua moja,, ikileta majibu karata nne za mwanzo zote zinakuwa hamna, wewe unahangaika kuitafuta karata ulochagua unaikosa, then unakuwa deceived kwamba ni magic,, but the thing is karata za mwanzo na inazoleta baadae zote hazifanani.. Hakuna magic hapo mkuu

Hapo nimekusoma
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

6 Reactions
Reply
Top Bottom