koba lee
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 982
- 1,610
Mimi sio mwandishi mzuri tuvumiliane lakini natumaini tutaelewana tu wakuu, ngoja niwape story kidogo ya yaliyonikuta na yanayoendelea kunikuta katika maisha .
Huyu mwanamke mwaka jana kategeshea nimepata mshahara na ilitakiwa tulipe kodi ya nyumba kasepa na hela yote pamoja na kila kitu ndani na vijisenti nilivyokua navyo.
Ilikua hivi nyumba kwa mwezi tunalipa laki na 70 nikamkabidhi ya miezi mitatu, tulikua tumepanga mwezi huohuo asafiri aende mkoa ampeleke mtoto kwa bibi yake,kwahiyo nikamkabidhi na nauli pamoja pesa nyingne ya kutumia kama laki na 20. Wakati natoka kazini nikampgigia simu nikamwambia muandae mtoto tukakae sehemu kidogo tupunguze stress za mwezi mzima,kweli tukakutana lakini kumbe mwenzangu ana yake. Tumekula pale monde kidogo tukaenda zetu kulala mwenzangu kumbe usiku kaamka kachukua pesa yote mfukoni na kwenye simu( namba ya siri anaijua) na pia mm hela hua naivuta toka benk kuja kwenye simu, hakuacha kitu na simu pia kachukua. Mimi hapo niko nakoroma,asubuhi naamka simu siioni,pesa sizioni,kumuuliza yeye anaruka futi mia,nikajiuliza inamaana mimi jana nililewa kisi hiki, nikasema anyways ngoja niende nikarenew line maana najua kwenye line kuna pesa. Kurenew line na kuangalia salio hela hakuna,nikarudi ndani nikaomba statement ya siku nzima,kuangalia mida ya kama saa 7 au 8 usiku hela imetoka kwenye simu yangu imeenda kwake. Nikampigia simu hapokei,mara akapokea nikasema mm sitaki maneno ila naomba hela uliyochukua uirudishe unajua kuna watu wananidai,akasema hela gani? Akakata simu,nikasema huyu hanijui,nikachukua boda kurudi home,kufika maeneo ya home nakuta geti liko wazi,kufika ninapoishi mlango uko wazi,kuingia ndani nimekuta holi.Kasepa na kila kitu kaacha zulia tu, daah sababu ya wenge nikatoka nje kuanza kuuliza watu,majirani wananishanga. Baada ya akili kunikaa sawa nikasema hata nikimpata nitamfanya nini muache aende,nikatulia full stress hata kibaruani sikwenda siku hiyo. Muda wa kodi umebakiza siku kadhaa uishe na hela kakimbia nayo.Nikampigia mzee mwenye nyumba nikamuelezea hali nikamuomba anisogezee muda kama wiki moja ntakua nshamuachia nyumba yake,maana siwezi kuendelea kuishi pale kwa kodi ile na vitu sina ukizingatia ni nyumba flani kubwakubwa kdogo,mzee akanielewa. Niliishi kama digidigi,nalala chini mawazo kibao lakini sikuwahi hata kujaribu kumpigia simu yule mwanamke maana ndo alichokua nategemea. Nikanyuti kimyaa napambana na hali yangu. Kiufupi hakuna nililomkosea la maana na do maana sikutaka kumtafuta. Baada ya wiki moja mara simu inaita kuangalia ni namba yake…….
Inaendelea