Jifunzeni kutoka kwangu

Jifunzeni kutoka kwangu

Alivyotoka pale kumbe alienda kwa dada ake maeneo flani hapahapa Dar, nilikuja kujua baadae. Maisha yakaendelea upande wangu. Ni mengi yametokea kipindi chote hicho lakini siwezi kuandika yote lakini wakuu nilipitia hali ngumu sana japokua nina kazi lakini mambo yalikua hayaendi. Hapa ndo nilipokuja kujua kuwa mwamaume sio tu kua na uume ila ujasiri na kujiamini.

Kipindi chote hicho toka aende kwa dadaake simu zake zilikua hazikatiki kwangu,katika maongezi yake nikaja kugundua kua kuna biashara anafanya ni kama anamsaidia dadaake,biashara yenyewe ni hizi za kuuza bites,anatoka mchana saa nane anarudi usiku mida ya saa 5. Kitendo hiki kiliniumiza sana nikimfikiria mwanangu anakua anamuacha na nani muda wote huo? Nilimmind kwelikweli lakini majibu yake ni kua ataishije bila kujishughulisha. Wakuu nikiri mimi ni binadamu sisemi kwamba mimi sina makosa,lakini hakuna kosa ambalo niliwahi kufanya kwa huyu mwanamke mpake akimbie toka kwangu,nilijitoa kwa kila hali,mimi ndo nilikua kama baba na mama yake,lakini mwisho wa siku kakimbia bila sababu ya msingi.

Tuendelee……..

kakomaa na biashara yake ile kaona mambo hayaendi,siku ya siku kanipigia simu ananambia kua mama yangu kampigia simu ampeleke mtoto home akamuone. Nikasema hapahapa maana sikupenda life alokua anaishi mwanangu la kuachwa toka saa 8 mchana mpaka usiku bila ya uangalizi wa mamaake. Nikasema sawa,akasema kua mama kamrushia hela kidogo haitoshi nauli, nikamwambia ntaongezea. Yota hiyo ni kua aende home maana akiwa kule najua dogo hatokosa kitu maana yuko kwa bibi yake.Nikamuongezea nauli nikaenda kumkatia tiketi,hapo najifanya kama kiaina mm na yeye yameisha. Mwisho wa siku akapanda bus kasepa nikasema hapa angalau. Na nikamwambia akae huko mpaka mimi nikija mkoa maana mwezi ulokua unafata nilikua Napata likizo kazini,akasema sawa.

Nikapata likizo nikaenda mkoa,nikamkuta mwili umerudi kanawiri anajiachia na dogo yuko poa.

Sasa kumbe yeye anadhani mi ndo nsharudi kwake akaanza mipango yake sijui tukirudi Dar tukafunge ndoa hata ya kiserikali (Yeye ni muislam mi mkristo). Nikamwambia sio kirahisi hivyo kama wewe unavyofikiria,akachachamaa maneno kibao akaanza kuongea, mara ooh mi sina shida wala nini na sikulazimishi endelea na wanawake wako hao na utapata laana mwanaume huna haya wewe. Wakuu mwanamke yuko home lakini aibu hana, anatoa mikauli yake ya ajabu, mdogo wangu kaingilia kati akasema we usimjibu kaa kimya, nikatulia. Uzuri bi mkubwa hakuwepo home mida hiyo.

Kesho asubuhi nikasikia anamwambia bi mkubwa “mama nataka kuongea na wewe kidogo”. Nikasema kumekucha na hiki ndo nilokua nataka. Nilivyoona hivyo nikasepa zangu mitaa ya kati lakini moyoni najua ni nini anaenda kuongea na mama na nikajua lazima ntaitwa. Kweli baada ya nusu saa simu inaita kuanalia namba ni ya mama yangu mzazi ananambia niende home, nikamwambia nakuja. Nimefika kikao kikaanza lakini kumbe mwanamke ashamwambia bi mkubwa maneno kibao. Mama akaanza kuhoji,nikamwambia mama uzuri wote tuko hapa nitajibu kila hoja akiona naongea ungo aseme. Niliongea pale mwanamke kimya hakuna analopinga. Nikamwambia mama huyu mwanamke amekua akikupigia simu kuhusu mimi na uliniona mimi kama ndo mwenye makosa sasa huyu hapa na mimi niko hapa apinge kwa yote niliyoyasema. Mwanamke kimya kabadili mada eti nina wanawake sijui mara nini, nikmwambia mama amuulize hicho ndo kilichomkimbiza? Mwanamke kimya. Akasema eti siwajali mimi nafanya starehe nalewa. Nikamwambia mama huyu mwanamke muongo. Maisha ninayoishi hata sijui kampani za marafiki yote hiyo ni kutomfanya huyu mwanamke asikasirike kwasababu namjua,nikitoka kazini direct home,kama kulewa anajua mara nyingi nakua naye na pia ni maeneo ya home, halafu pia sio kila siku kama yeye anavyodai sina hela ya kulewa kila siku.Mwanamke kimya. Nikwamwambia mama ni mengi mimi huyu mwanamke kanifanyia lakini sikua nataka kukupigia simu maana nilijua naweza kuyahandle kama mwanaume,yeye ndo alikua anapiga simu kwako akikuelezea mambo mengi ya uongo na ukamuamini,sasa huyu hapa muulize yote niliyoyasema kama ni uongo,mwanamke kimya.

Tuliongea mengi siwezi kuyaandika hapa maana ni mengi lakini mwisho wa siku mama akajua ukweli kuhusu huyu mwanamke.

Kauli yake ya mwisho akamuuliza mwanamke “ Bado unampenda mwanangu?”.Mwanamke akasema bado nampenda ila aache tabia za kua na wanawake (😀😀dah huyu mwanamke). Mama akaniuliza kuhusu mimi,mimi nikamwambia mama nataka tuweke vitu sawa hapahapa,kama yuko tayari kurudi kwangu nataka ajue nafasi yake kama mwanamke,aniheshimu ajue kila ninalofanya ni kwa ajili ya familia.

Inaendelea
 
Kabla haujaendelea na season 3 uyo mwanamke kabila lake kama sijakosea ni MGOGO hiyo tabia ya kubeba vitu ni ya wagogo
yeeeee kwamba
JoBo Ndugai aliondoka na vyombo vya kutunga sheria za hovyo hovyo pale mjengoni,au ndio sijaelewa braza?
😁😁😁😁🔥🔥🔥
 
Alivyotoka pale kumbe alienda kwa dada ake maeneo flani hapahapa Dar, nilikuja kujua baadae. Maisha yakaendelea upande wangu. Ni mengi yametokea kipindi chote hicho lakini siwezi kuandika yote lakini wakuu nilipitia hali ngumu sana japokua nina kazi lakini mambo yalikua hayaendi. Hapa ndo nilipokuja kujua kuwa mwamaume sio tu kua na uume ila ujasiri na kujiamini.

Kipindi chote hicho toka aende kwa dadaake simu zake zilikua hazikatiki kwangu,katika maongezi yake nikaja kugundua kua kuna biashara anafanya ni kama anamsaidia dadaake,biashara yenyewe ni hizi za kuuza bites,anatoka mchana saa nane anarudi usiku mida ya saa 5. Kitendo hiki kiliniumiza sana nikimfikiria mwanangu anakua anamuacha na nani muda wote huo? Nilimmind kwelikweli lakini majibu yake ni kua ataishije bila kujishughulisha. Wakuu nikiri mimi ni binadamu sisemi kwamba mimi sina makosa,lakini hakuna kosa ambalo niliwahi kufanya kwa huyu mwanamke mpake akimbie toka kwangu,nilijitoa kwa kila hali,mimi ndo nilikua kama baba na mama yake,lakini mwisho wa siku kakimbia bila sababu ya msingi.

Tuendelee……..

kakomaa na biashara yake ile kaona mambo hayaendi,siku ya siku kanipigia simu ananambia kua mama yangu kampigia simu ampeleke mtoto home akamuone. Nikasema hapahapa maana sikupenda life alokua anaishi mwanangu la kuachwa toka saa 8 mchana mpaka usiku bila ya uangalizi wa mamaake. Nikasema sawa,akasema kua mama kamrushia hela kidogo haitoshi nauli, nikamwambia ntaongezea. Yota hiyo ni kua aende home maana akiwa kule najua dogo hatokosa kitu maana yuko kwa bibi yake.Nikamuongezea nauli nikaenda kumkatia tiketi,hapo najifanya kama kiaina mm na yeye yameisha. Mwisho wa siku akapanda bus kasepa nikasema hapa angalau. Na nikamwambia akae huko mpaka mimi nikija mkoa maana mwezi ulokua unafata nilikua Napata likizo kazini,akasema sawa.

Nikapata likizo nikaenda mkoa,nikamkuta mwili umerudi kanawiri anajiachia na dogo yuko poa.

Sasa kumbe yeye anadhani mi ndo nsharudi kwake akaanza mipango yake sijui tukirudi Dar tukafunge ndoa hata ya kiserikali (Yeye ni muislam mi mkristo). Nikamwambia sio kirahisi hivyo kama wewe unavyofikiria,akachachamaa maneno kibao akaanza kuongea, mara ooh mi sina shida wala nini na sikulazimishi endelea na wanawake wako hao na utapata laana mwanaume huna haya wewe. Wakuu mwanamke yuko home lakini aibu hana, anatoa mikauli yake ya ajabu, mdogo wangu kaingilia kati akasema we usimjibu kaa kimya, nikatulia. Uzuri bi mkubwa hakuwepo home mida hiyo.

Kesho asubuhi nikasikia anamwambia bi mkubwa “mama nataka kuongea na wewe kidogo”. Nikasema kumekucha na hiki ndo nilokua nataka. Nilivyoona hivyo nikasepa zangu mitaa ya kati lakini moyoni najua ni nini anaenda kuongea na mama na nikajua lazima ntaitwa. Kweli baada ya nusu saa simu inaita kuanalia namba ni ya mama yangu mzazi ananambia niende home, nikamwambia nakuja. Nimefika kikao kikaanza lakini kumbe mwanamke ashamwambia bi mkubwa maneno kibao. Mama akaanza kuhoji,nikamwambia mama uzuri wote tuko hapa nitajibu kila hoja akiona naongea ungo aseme. Niliongea pale mwanamke kimya hakuna analopinga. Nikamwambia mama huyu mwanamke amekua akikupigia simu kuhusu mimi na uliniona mimi kama ndo mwenye makosa sasa huyu hapa na mimi niko hapa apinge kwa yote niliyoyasema. Mwanamke kimya kabadili mada eti nina wanawake sijui mara nini, nikmwambia mama amuulize hicho ndo kilichomkimbiza? Mwanamke kimya. Akasema eti siwajali mimi nafanya starehe nalewa. Nikamwambia mama huyu mwanamke muongo. Maisha ninayoishi hata sijui kampani za marafiki yote hiyo ni kutomfanya huyu mwanamke asikasirike kwasababu namjua,nikitoka kazini direct home,kama kulewa anajua mara nyingi nakua naye na pia ni maeneo ya home, halafu pia sio kila siku kama yeye anavyodai sina hela ya kulewa kila siku.Mwanamke kimya. Nikwamwambia mama ni mengi mimi huyu mwanamke kanifanyia lakini sikua nataka kukupigia simu maana nilijua naweza kuyahandle kama mwanaume,yeye ndo alikua anapiga simu kwako akikuelezea mambo mengi ya uongo na ukamuamini,sasa huyu hapa muulize yote niliyoyasema kama ni uongo,mwanamke kimya.

Tuliongea mengi siwezi kuyaandika hapa maana ni mengi lakini mwisho wa siku mama akajua ukweli kuhusu huyu mwanamke.

Kauli yake ya mwisho akamuuliza mwanamke “ Bado unampenda mwanangu?”.Mwanamke akasema bado nampenda ila aache tabia za kua na wanawake (dah huyu mwanamke). Mama akaniuliza kuhusu mimi,mimi nikamwambia mama nataka tuweke vitu sawa hapahapa,kama yuko tayari kurudi kwangu nataka ajue nafasi yake kama mwanamke,aniheshimu ajue kila ninalofanya ni kwa ajili ya familia.

Inaendelea
Pole sana mkuu
Ila nyie maticha punguzeni mbwembwe mkipata mshahara mnalewa sana kama polisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom