Ok, umeelewekaHabari wana jamvi, naanza kufundisha javascript programming. Focus kubwa itakuwa katika web development. Utajifunza dynamic web pages.
Gharama ni sawa na bure, utalipia 10,000 na ntafundisha kwa mwezi mmoja. Mfumo wa kufundisha ni whatsapp or telegram kutemea na mwitikio wenu. Ntaanza rasmi kufundisha tarehe 1 mwezi wa 9 hivyo unahitaji njoo DM lipia usajiriwe umri kuanzia miaka 13+. Hautajuta ukimaliza hii short tutorial utakuwa na uwezo wa kuandika script zako bila ku google code. Kwa Government students mtasoma bureeee, wale wa private mtachangia kidogo. Ukija unataka kusoma bure uwe na current school ID. Usajiri unaanza leo tarehe 21 mpaka 28 tafadhali zingatia muda. Karibuni DM ntawapa na ID yangu kuepuka msije kutapeliwa na imposters.nawasilisha.
Kama hauna uhitaji usi complicate vitu. Sina uhakika kama una first class hapo ulipo ila mind you sikuwahi kupata hata B in my college time, nikifeli sana nilipata B+.Like nikishaandika izo code bila google itakuaje?
Kiuchumi itanisaidiaje?
Wewe umeshafanikiwa kufanya nini kikubwa kupitia taaluma yako,
Sio nafundishwa na mtu alikua ndio last born wa darasa kwenye matokeo, tuweke wazi
10000Sina njaa yoyote mkuu ila sipendi mtu anapoonesha dharau kwenye mambo ya wengine. Humu JF hakuna anaejua nani ni nani kwa hiyo ni vyema mtu ukatumia busara katika mambo ya msingi.
Where did your first class take you? U see? We are both struggling and perhaps your struggle is of the first class among all struggles, (mpaka umekuja kutafua ghosts wa jf) be humble mtoto mdogo unapoulizwa jibu sio kwa vijembe kama kila mwezi unaenda space, when u need to do sthing dont put your face off the critics dear geniusKama hauna uhitaji usi complicate vitu. Sina uhakika kama una first class hapo ulipo ila mind you sikuwahi kupata hata B in my college time, nikifeli sana nilipata B+.
Dogo anataka afundishe kuanzia shule ya msingi mpaka phd holders na ka certificate kake kenye first class 😂 namkumbusha tuu alipe kodi tujenge zetu barabaraMbona kama una njaa sana dogo
Pole sana kijana, natumai Mungu hatakuacha hivyo daima. Ameen.Where did your first class take you? U see? We are both struggling and perhaps your struggle is of the first class among all struggles, (mpaka umekuja kutafua ghosts wa jf) be humble mtoto mdogo unapoulizwa jibu sio kwa vijembe kama kila mwezi unaenda space, when u need to do sthing dont put your face off the critics dear genius
ashakutoa kwenye reli..Sina njaa yoyote mkuu ila sipendi mtu anapoonesha dharau kwenye mambo ya wengine. Humu JF hakuna anaejua nani ni nani kwa hiyo ni vyema mtu ukatumia busara katika mambo ya msingi.
/month10000
Pole sana kijana, natumai Mungu hatakuacha hivyo daima.walaWhere did your first class take you? U see? We are both struggling and perhaps your struggle is of the first class among all struggles, (mpaka umekuja kutafua ghosts wa jf) be humble mtoto mdogo unapoulizwa jibu sio kwa vijembe kama kila mwezi unaenda space, when u need to do sthing dont put your face off the critics dear genius
ashakutoa kwenye reli..
Hata huwa sihangaiki na watu dizaini yake. Nimemjibu tu kwa kuwa analeta ujuaji usio na maana.ashakutoa kwenye reli..