Jifunze njia rahisi ya ku-root simu

me niliharibu yangu Huawei Y300 baada ya ku root nikatafuta rom inayofaa nikaiingizza saahii inapiga mzigo na rom isiyo ya huawei.ni issue ndogo tu.

Habari naomba msaada wako nina samsung dual inazima na kuwaka tu. Nilishawahi kuiflash kwa tatizo hilo hilo. Nikaitumia kidigo ikarudia tatizo lile lile. Nimeiweka karibu miezi 6 siitumii. Je yaweza tengenezeka.
 
Sasa si uflash tena
 
Msaada kwa huawei Y530

Tafadhari
 
Msaada kwa huawei Y530

Tafadhari

https://fc3d68b6-a-62cb3a1a-s-sites.googlegroups.com/site/carakamucross/TOWELROOTV3.apk?attachauth=ANoY7crIkFMDxQDRaPaOkc9JYzwd54AzLjaqf9m9IbIXhu6e7dn9ErvzjW3_ut8Z2rnXLnB8Xp231SNQSOplnJuXkbpCVNGIVn2qbbdKbFBuczhCDjsN6KgSACZtmL1BfWBCtyHWnSfBjUd4BLSDD_peYPDZJ32178wwBu1HxkIDJXCKvkdySq9woeTMUnVhOHrvkAXwcGu9tqWXTw9e7OLPYFWjKIXs6A%3D%3D&attredirects=1&d=1
 
Imerun tayari ,nawezaje jua nimeroot tayari
 
Nilipo flash haikufika hata mwezi ikarudia tatizo lile lile. Je kuna njia mbadala wa kuflash?

Try different stock rom mfano zenye multi csc zipo poa download odin yenye pit file kisha na rom ambayo ni multi csc
 
Download root checker playstorr

Mkuu,nimefanikiwa ,lakin screenshot inakataa inasema memory might be used

Natakiwa fanya nn after ku root simu yangu?.. kama kun apps za kuweka nisaifie
 
google play kuna root checker

Nini natakiwa fanya after ku root, nimefanikiwa mkuu, bt kuna vitu nimeanza ona.havipo sawa kama screen shot.inakataa sijajua mengine, what can i do?
 
Huu uzi sitausahau na kila nikiuona moyo unanipasuka vibaya niliuwa Huawei yangu G610 na ilikuwa ina mwez mmoja tu, baada ya kumaliza ku root simu ikawa ina ji restart tu.
Mafundi wa kuflash wakaizimisha jumla hadi leo ipo ndani tu.
 
Ulitumua framaroot???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…