Paypal watarejesha fedha kwenye chanzo card/ benki husika.
Huwezi kupokea fedha iwapo ndugu au jamaa aliye nje ya nchi anahitaji akutumie fedha direct, hili ndio haliwezekani iwapo tu
- Account yako ulifungulia Tz
- Ila inawezekana iwapo tu
{a} Account ya paypal ulifungua ukiwa nje ya nchi
{b} Ulifanya attachment ya vielelezo husika pindi walipo vihitaji
Ndio sababu hapo juu nikasisitiza iwapo lengo ni kupokea fedha toka nje ya nchi basi tumia
- Skrill
- Worldremit