HAROUB NASSOR HAFIDH
Member
- Nov 20, 2016
- 23
- 14
1.Shingi 200 yazalisha mamilioni. Kijana wa kimaskini alieishi Dar-es-salaam, alipata hii fedha, hakuidharau. Aliifanyia kazi. Alifanyaje?
2. Alifikiri nini afanye. Mara akapata aidia ya kuenda dukani Na kununua yai bichi. Akafanya hivyo, kisha akalichemsha Na kiliuza kwa sh, 400. Akaona ni bora akanunue mayai mawili. Akarudia mchezo wa kuyachemsha Na kuuza akapata 800. Hakuchoka akafanya mchezo huwo mpaka akajikuta amefikia raundi ya 7 akajikuta katika raundi hio ameuza mayai 128 huku akipata sh 51,200.
3. Siku ya pili akaona 51,200 ni nyingi ataweza kununua mayai kwa trea Na kuyauza kwa trea yakiwa mabichi. Akafanya hivyo ambapo trea 1 alinua kwa sh,8000 Na kuuza 11,000. Kwa fedha alizokua nazo aliweza kununua trea 6 Na kuziuza zote. Hivyo alipata kiasi cha 66,000.
4. Kazi iliendelea kwa Siku ya 3, 4,5,6,7 Na mpaka kufikia siku ya 8 akaweza kuuza trea 40 Na kufikia sh 440,000
4. Sasa aliamua kufungua kigenge cha kuuza mayai kwa trea. Akafanya hivyo hadi mwezi mmoja. Hapo ndio alipopata fedha nyingi Na kuamua kununua kikery cha kusambazia mayai kwa wateja katika maeneo mbalimbali ya jiji LA daresalaam.
5. Alifungua Na senta nyengine za kufanya biashara hio hio. Na sasa amekua milionea.