Jifunze kuzishinda hisia

Jifunze kuzishinda hisia

Mkuu Kibo10 Mungu alitueka duniani ili tuzaliane na kuiongeza dunia so hizo hormone ziliwekwa kwa ajili hiyo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kibo10 Mungu alitueka duniani ili tuzaliane na kuiongeza dunia so hizo hormone ziliwekwa kwa ajili hiyo

Hilo hata mungu hakatazi "kuzaliana" ila lazima tuzaliane na kujamiana ndani ya ndoa, vinginevyo mungu hapendi mkuu na hajaruhusu pamoja na kuwa anajuwa utamu uliopo pale kwenye kidonda!
 
Last edited by a moderator:
Hilo hata mungu hakatazi "kuzaliana" ila lazima tuzaliane na kujamiana ndani ya ndoa, vinginevyo mungu hapendi mkuu na hajaruhusu pamoja na kuwa anajuwa utamu uliopo pale kwenye kidonda!

Aikaa mbeee!!
 
Well said...mwanzoni itakupa shida,,, lkn ukivumilia kwa wiki 6, mwili unatii unaona kawaida genye hazipandi tena..
 
Habari za jumatatu wakuu wa nchi hii ya Jamii Forum, leo nataka niseme neno kidogo najuwa litalipuwa vichwa wengi, na kuwachoma lakini tuelezane tu kwa faidia yetu sote, haswa waamini wa mungu.

Leo niwamegee siri tu ya ni jambo gani kubwa linalotukataza kufanya mapenzi kabla ya ndoa, ni kwa sababu Mungu hapendi amekataa. Na amekataa sio kwamba hajui.

Anajua kila uhisilo ukifanya mapenzi, anajua zile hisia unazofeel na nini kinatokea ukifanya. Anajua yeye ndo ameziumba zile hisia, usimfundishe Mungu kazi ya kuumba.

Alikuumba akijua una hormone ambazo zitakusumbua lakini vilevile amekupa uwezo wa kuzishinda. Mungu hawezi kuweka jaribu ambalo halina mlango, kama alisema usifanye basi anajua uwezo wa kutofanya upo.

Tutabisha weeee, ooh haiwezekani, kuna watu hawafanyi na wapo, wanapumua kama wewe, wanamtii Mungu na wanaishi hawafi, na wanakuja wanaoa na mambo wanakula kama kawa.

Zile stori usipofanya sijui ufutio unapotea, utajuwaje kama ni mzima, mara hivi, ni plan za shetani tu kama alivyomdanganya Eva akajaa kimiani, anakujaza na wewe uamini ili upotee.

Usikubali.

Mtizamo wako waweza kuwa sahihi kwako lakini siyo kwa watu wote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom