Jifunze kuzishinda hisia

Jifunze kuzishinda hisia

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Habari za jumatatu wakuu wa nchi hii ya Jamii Forum, leo nataka niseme neno kidogo najuwa litalipuwa vichwa wengi, na kuwachoma lakini tuelezane tu kwa faidia yetu sote, haswa waamini wa mungu.

Leo niwamegee siri tu ya ni jambo gani kubwa linalotukataza kufanya mapenzi kabla ya ndoa, ni kwa sababu Mungu hapendi amekataa. Na amekataa sio kwamba hajui.

Anajua kila uhisilo ukifanya mapenzi, anajua zile hisia unazofeel na nini kinatokea ukifanya. Anajua yeye ndo ameziumba zile hisia, usimfundishe Mungu kazi ya kuumba.

Alikuumba akijua una hormone ambazo zitakusumbua lakini vilevile amekupa uwezo wa kuzishinda. Mungu hawezi kuweka jaribu ambalo halina mlango, kama alisema usifanye basi anajua uwezo wa kutofanya upo.

Tutabisha weeee, ooh haiwezekani, kuna watu hawafanyi na wapo, wanapumua kama wewe, wanamtii Mungu na wanaishi hawafi, na wanakuja wanaoa na mambo wanakula kama kawa.

Zile stori usipofanya sijui ufutio unapotea, utajuwaje kama ni mzima, mara hivi, ni plan za shetani tu kama alivyomdanganya Eva akajaa kimiani, anakujaza na wewe uamini ili upotee.

Usikubali.
 
ni kweli Kibo10 na ndo maana tendo hilo haliendeshwi na ubongo unaosimamai matendo ya lazima which means ni hiari kulifanya!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nakukumbusha tu katika somo la BIOLOJIA KUNA KANUNI INAYOSEMA KUWA KIUNGO CHA MWILI KISIPOTUMIKA KWA MUDA MREFU HUPOTEZA KABISA UWEZO WAKE WA KUFANYA KAZI.Hii ndiyo sababu wataalamu wa mazoezi wanapendekeza kuwa viungo vifanyishwe mazoezi mara kwa mara
 
Moto wa mungu nao tunauweka kundi gani kwa kuvunja amri zake?
Halafu samahani wewe ni Ke au Me?
Wakati mwingine huwa najiuliza nafsini mwangu hv why mungu aliumba papuchi kwa kuipeleka ndani na dushe kuiotesha nje?
nilitamani wote tungekuwa flat tu.
 
Wakati mwingine huwa najiuliza nafsini mwangu hv why mungu aliumba papuchi kwa kuipeleka ndani na dushe kuiotesha nje?
nilitamani wote tungekuwa flat tu.

Aisee wisu kuwa flati wote?siungi mkono "hoja"mungu anaakili ndio maana aliumba jinsi tulivyo!
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana huwa mnapata divisheni faivu...

Mkuu nakukumbusha tu katika somo la BIOLOJIA KUNA KANUNI INAYOSEMA KUWA KIUNGO CHA MWILI KISIPOTUMIKA KWA MUDA MREFU HUPOTEZA KABISA UWEZO WAKE WA KUFANYA KAZI.Hii ndiyo sababu wataalamu wa mazoezi wanapendekeza kuwa viungo vifanyishwe mazoezi mara kwa mara
 
Kuna watu wanafikiri kwa matak.o si bure...naungana nawe watu8 divishen faivu haziwezi kuisha kwa akili hizi....
 
Ni vizuri kuonyana lakini sio vizuri kuhukumiana.

Unachosema mtoa mada ni kweli kabisa wala hujakosea.

Ingawa kuwa kuna dhambi nyingine kubwa sana sawa sawa na hiyo na zenye madhara makubwa lakini watu kama wewe wameziweka kuwa zisizo na uzito.

Tuonyane na turekebishane kwa kila neno na tendo ambalo halimtukuzi Mungu na ambalo lina madhara kwa binadamu wenzetu kama vile matusi, kungengenyana, uchoyo, chuki, ujambazi, ubakaji, ulawiti, kiburi, wizi, kupoteza muda n.k.
 
Aisee wisu kuwa flati wote?siungi mkono "hoja"mungu anaakili ndio maana aliumba jinsi tulivyo!

unajua kibo 10,naelewa kuwa mungu ana akili sana lakini hii kitu inafanya watu wachanganyikiwe sana.
 
Last edited by a moderator:
unajua kibo 10,naelewa kuwa mungu ana akili sana lakini hii kitu inafanya watu wachanganyikiwe sana.
Pengine mtihani mkubwa unakuja kutokana na aina ya ladha inayopatikana pale!
Lakini tukizingati maandiko na maagizo yote ya mungu tunaweza kuishinda hii kitu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom