Jifunze Kuushinda Woga/ Hofu

Jifunze Kuushinda Woga/ Hofu

Ukishasema neno vitabu, lazima watu waukimbie Uzi wako.
Watanzania tunataka story za kijipu uchungu cha lemutuz zee la miaka 18. Sijui baba yake alijisikiaje baada ya ile video?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wabongo tunavisa sana
 
Ukishasema neno vitabu, lazima watu waukimbie Uzi wako.
Watanzania tunataka story za kijipu uchungu cha lemutuz zee la miaka 18. Sijui baba yake alijisikiaje baada ya ile video?

Video ipi
 
leo kisu kimegusa kila mfupa sehemu ya mwili, na hii ndo inatakiwa maskini ukipata uwakumbuke na wenzio sio matyako yako pekee ndo yalie mbwata
 
Ahsante mkuu Bujibuji kwa kuja na hii kitu. Kuna kitabu kimoja kinaitwa how to succeed cha Bryan Adams nakitafuta sana. Nimepita google nipate hata pdf nimeshindwa.

Ngoja nikitafute hicho eat tha frog kama ntakipata kwenye pdf
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom