Upo arround 20-24...Nipo kwenye hali kama hii nahitaj ushaur nahis kabisa dem wang yuko na mshkaj mwingine maana Jana kuna msela kaniambia uyo mshkaj kawatambulish kuw ndo shemej yao nimemuuliz kakataa kata kata ananiambia inamaana huniamini kiukweli nampend Sana tu Ila nahisi hanipnd kama ninavy mpend nilish jikaza nikamkazia siku mbili cjamtafuta akaja kunifwata unadhan niliwez kujizuia hisia zang ss nilijikuta tu nimemkumbatia cjui nifanyaje yaan dah ninawakat mgum mno
Ndio mkuu hujakosea kbsUpo arround 20-24...
ukifika 25 plus njoo tuongee..
uwe unaangalia na muvi za mizukamizuko utakuwaje na roho nyepesi atakuendesha sana siku si kama rubani wa mama yetuNipo kwenye hali kama hii nahitaj ushaur nahis kabisa dem wang yuko na mshkaj mwingine maana Jana kuna msela kaniambia uyo mshkaj kawatambulish kuw ndo shemej yao nimemuuliz kakataa kata kata ananiambia inamaana huniamini kiukweli nampend Sana tu Ila nahisi hanipnd kama ninavy mpend nilish jikaza nikamkazia siku mbili cjamtafuta akaja kunifwata unadhan niliwez kujizuia hisia zang ss nilijikuta tu nimemkumbatia cjui nifanyaje yaan dah ninawakat mgum mno
Asant mkuu kwa ushaur kizur kwa hapa kazin nina PC nitajitahid kuw busy na moviesuwe unaangalia na muvi za mizukamizuko utakuwaje na roho nyepesi atakuendesha sana siku si kama rubani wa mama yetu
p1Asant mkuu kwa ushaur kizur kwa hapa kazin nina PC nitajitahid kuw busy na movies
uko sawa mkuu• Kamwe usihisi kama ulimwengu ndio unakaribia mwisho pale akupendae anapokuacha.
Muache aende!
• Kujaribu kumlazimisha mtu akupende ni sawa na kujaribu kumlazimisha Nguruwe kutambua usafi na uzuri. Usimlazimishe akupende, mwache mwenyewe akupende, kama hakupendi...
Muache aende!
• Wewe ni wa thamani mno kulilia penzi. Mtu ambae anakupenda kweli atakuheshimu na hataku 'treat' kama uchafu. Kama atakuchukulia wewe kama uchafu...
Muache aende!
• Usipoteze muda wako wa thamani kujaribu kumshawishi au kuomba mapenzi. Mtu mwingine pembeni anakupenda wewe kwa dhati, ila wewe uko busy mno kumuogesha nguruwe! Kwanini?
Muache aende!
• Usikasirike pale mtu wako anapompenda mwingine tofauti na wewe. Siku zote hua ni vigumu kumshawishi NYANI kwamba Asali ni tamu kuliko ndizi...
Muache aende!
• Mwanamke/mwanaume yeyote anaekuchukulia kirahisi siku zote atachukulia faida kwako, atakugeuza atakavyo kama chapati akijua hufurukuti, yeye sio Mungu wa kukufanya atakavyo...
Muache aende!
• Kuna watu hawatakupenda hata kama utajitoa kiasi gani kwao. Ni sawa tu. Kukukataa kwao haimaanishi kwamba una kitu kibaya, bali ni maana kwamba hawako kwa ajili yako. Usilazimishe duara kuwa pembe tatu...
Na unaamini hukumkosea basi usiumie sana Mungu yupo na ni niwakwetu sote razima tu alipe kwa alio yafanya ata kama ni lini
MUACHE AENDE!
Cha kujifunza
• Hauwezi badilisha maoni mabaya ya watu juu yako, ila unaweza ukazuia maoni yao mabaya yasikubadilishe wewe kama wewe!
• Acha kichwa chako kiongoze moyo wako kukuondoa katika mahusiano sumu. Lengo la mahusiano sio kuleta mafadhaiko ila ni kuongeza furaha juu ya ile uliyokuwa nayo mwanzoni ulipokuwa haupo ktk mahusiano.
NI NGUMU SANA ILA KWA MUSTAKABALI WA FURAHA YAKO YA SASA NA YA BAADAE ME NAKWAMBIA MUACHE AENDE MPE NA NAULI KABISA!
Kama ipo ipo tu...!
Nimekaacha kaswahili kaleHakunaga kuachwa ghafla ww mwenyewe kuna sign utaanza kuziona mapema kabla ya kuacha
Umesema eti!? Hilo ndiyo chaguo lako• Kamwe usihisi kama ulimwengu ndio unakaribia mwisho pale akupendae anapokuacha.
Muache aende!
• Kujaribu kumlazimisha mtu akupende ni sawa na kujaribu kumlazimisha Nguruwe kutambua usafi na uzuri. Usimlazimishe akupende, mwache mwenyewe akupende, kama hakupendi...
Muache aende!
• Wewe ni wa thamani mno kulilia penzi. Mtu ambae anakupenda kweli atakuheshimu na hataku 'treat' kama uchafu. Kama atakuchukulia wewe kama uchafu...
Muache aende!
• Usipoteze muda wako wa thamani kujaribu kumshawishi au kuomba mapenzi. Mtu mwingine pembeni anakupenda wewe kwa dhati, ila wewe uko busy mno kumuogesha nguruwe! Kwanini?
Muache aende!
• Usikasirike pale mtu wako anapompenda mwingine tofauti na wewe. Siku zote hua ni vigumu kumshawishi NYANI kwamba Asali ni tamu kuliko ndizi...
Muache aende!
• Mwanamke/mwanaume yeyote anaekuchukulia kirahisi siku zote atachukulia faida kwako, atakugeuza atakavyo kama chapati akijua hufurukuti, yeye sio Mungu wa kukufanya atakavyo...
Muache aende!
• Kuna watu hawatakupenda hata kama utajitoa kiasi gani kwao. Ni sawa tu. Kukukataa kwao haimaanishi kwamba una kitu kibaya, bali ni maana kwamba hawako kwa ajili yako. Usilazimishe duara kuwa pembe tatu...
Na unaamini hukumkosea basi usiumie sana Mungu yupo na ni niwakwetu sote razima tu alipe kwa alio yafanya ata kama ni lini
MUACHE AENDE!
Cha kujifunza
• Hauwezi badilisha maoni mabaya ya watu juu yako, ila unaweza ukazuia maoni yao mabaya yasikubadilishe wewe kama wewe!
• Acha kichwa chako kiongoze moyo wako kukuondoa katika mahusiano sumu. Lengo la mahusiano sio kuleta mafadhaiko ila ni kuongeza furaha juu ya ile uliyokuwa nayo mwanzoni ulipokuwa haupo ktk mahusiano.
NI NGUMU SANA ILA KWA MUSTAKABALI WA FURAHA YAKO YA SASA NA YA BAADAE ME NAKWAMBIA MUACHE AENDE MPE NA NAULI KABISA!
Kama ipo ipo tu...!
Unamuwaza yeye kwa kuwa umekosa mbadala, nashauri msiwe mnaweka miguu yote shimoni japo mmoja ubaki kwaajili ya kujitoaKila ufanyacho unamuwaza yeye tu.
Sio rahisi jameni.