Jifunze kuheshimu kila mtu

Jifunze kuheshimu kila mtu

Mapengo 17

R I P
Joined
Mar 28, 2014
Posts
1,228
Reaction score
618
Wanajamvi tujifunze kumuheshimu kila mtu hata kama mtu flani ana/una mali nyingi kiasi gani ipo siku na wewe utakosa au uchumi utayumba.

Wadau tukumbuke hali ya maisha huweza kubadilika wakati wowote, leo waweza kuwa tajiri lakini kesho ukawa masikini.

Endapo unaamini hayo yanaweza tokea wakati wowote, basi huna budi kumuheshimu yule asiye nacho, ulicho nacho wewe sababu wakati wowote unaweza ukawa katika hali aliyonayo mwenzako.
Nawatakia tafakari njema.

attachment.php
 
Attachments

  • Pole.jpg
    Pole.jpg
    24.9 KB · Views: 1,229
Sikatai kuheshimu kila mtu bila kujali ana hali gani,lakini wakati mwingine anayetaka kuheshimiwa nae aanze kujiheshimu,picha inaonesha hapo ni barabarani na hairuhusiwi kupanga biashara maana ni njia ya kupita magari.
Lawama wakati mwingine tunajitakia
 
Ni vizur kuheshimiana kutoka kila upande mdogo amuheshimu mkubwa na vivyo hivyo kwa mkubwa, mwenye nacho amuheshimu asiye nacho na vivyo hivyo asiye nacho......Hivyo tutakwenda na tutafika mkuu....Ila sasa kumekuwa na tabia ya kutokuheshimiana katika tabaka zote mdogo hamueshimu mkubwa wala mkubwa hamueshimu mdogo vivyo hivyo kwa wenye na wasio nacho hali imekuwa ndo hiyo....Kupitia picha hapo yawezekana kabisa ni kibur cha huyo mfanyabiashara ndogo ndogo kukataa kusogeza bidhaa zake sasa jamaa mwenye gar angepaa juu? Nasema hivyo sababu hata mi ilishanikuta hiyo kipindi fulan nilikuwa Arusha pale soko kuu....mama mmoja alikataa kabisa kusogea barabaran ila mim sikukanyanga vitu vyake....nilipandisha vioo nikapiga simu kwa majamaa wa manispaa wakaja na migambo wao kilichoendelea pale mi sikutaka kushuhudia sababu kwanza wote walikmbia nakuacha vitu vyao hapo...So hawa watembea kwa miguu, wafanya biashara ndogondogo na waendesha bodaboda wanachuk sana na watu wenye magar na sijui kwa nin?
 
hawa wenye magari wanatudharau sana sisi masikini lakini kwa Mungu tutakutana wote huu uonevu wa duniani tuu.
 
Sasa hapo si barabarani? Nani ambaye hamuheshimu mwenzio? Watu wengine wanatumia kigezo cha umaskini ku play victim waonekanae wananyanyaswa.Hapo mwenye gari ndo ananyanyasika. Analipia road licence ya gari lake lakini anakuta kaweka nynya barabarani na huyo mtu halipi hata senti tano ya kodi
 
............sababu kwanza wote walikmbia nakuacha vitu vyao hapo...So hawa watembea kwa miguu, wafanyabiashara ndogondogo na waendesha bodaboda wanachuki sana na watu wenye magar na sijui kwa nin?

Binafsi nafikiri kwamba kuna dhana potofu waliyojijengea hawa wenzetu ndio maana inakuwa hivyo.
 
Wanajamvi tujifunze kumuheshimu kila mtu hata kama mtu flani ana/una mali nyingi kiasi gani ipo siku na wewe utakosa au uchumi utayumba.

Wadau tukumbuke hali ya maisha huweza kubadilika wakati wowote, leo waweza kuwa tajiri lakini kesho ukawa masikini.

Endapo unaamini hayo yanaweza tokea wakati wowote, basi huna budi kumuheshimu yule asiye nacho, ulicho nacho wewe sababu wakati wowote unaweza ukawa katika hali aliyonayo mwenzako.
Nawatakia tafakari njema.

attachment.php

Nani aliyemkuta mwenzake?
 
Ni vizur kuheshimiana kutoka kila upande mdogo amuheshimu mkubwa na vivyo hivyo kwa mkubwa, mwenye nacho amuheshimu asiye nacho na vivyo hivyo asiye nacho......Hivyo tutakwenda na tutafika mkuu....Ila sasa kumekuwa na tabia ya kutokuheshimiana katika tabaka zote mdogo hamueshimu mkubwa wala mkubwa hamueshimu mdogo vivyo hivyo kwa wenye na wasio nacho hali imekuwa ndo hiyo....Kupitia picha hapo yawezekana kabisa ni kibur cha huyo mfanyabiashara ndogo ndogo kukataa kusogeza bidhaa zake sasa jamaa mwenye gar angepaa juu? Nasema hivyo sababu hata mi ilishanikuta hiyo kipindi fulan nilikuwa Arusha pale soko kuu....mama mmoja alikataa kabisa kusogea barabaran ila mim sikukanyanga vitu vyake....nilipandisha vioo nikapiga simu kwa majamaa wa manispaa wakaja na migambo wao kilichoendelea pale mi sikutaka kushuhudia sababu kwanza wote walikmbia nakuacha vitu vyao hapo...So hawa watembea kwa miguu, wafanya biashara ndogondogo na waendesha bodaboda wanachuk sana na watu wenye magar na sijui kwa nin?

attachment.php

Lakini picha inavyozungumza ni kama vile hakukuwa na ubishani wowote kabla ya hatua hii maana kwa hakika kama huyu mfanyabiashara alikaidi kutoa vitu vyake kupisha gari basi asingejisumbua pia kuvinusuru baada ya mwenye gari kuanza kukanyaga (najaribu tu kufikiri kwa kadri picha inavyoonesha sana sana huyu mchuuzi angerusha jiwe au kupiga ngumi gari)
 
Binafsi nafikiri kwamba kuna dhana potofu waliyojijengea hawa wenzetu ndio maana inakuwa hivyo.
Na ni kwel ni dhana potofu sana hiyo inaenda mbali zaid siku hizi hata gari hawapishi watembea kwa miguu wao ndo wanataka uwapishe.....Its not fear kabisa.
 
Wanajamvi tujifunze kumuheshimu kila mtu hata kama mtu flani ana/una mali nyingi kiasi gani ipo siku na wewe utakosa au uchumi utayumba.

Wadau tukumbuke hali ya maisha huweza kubadilika wakati wowote, leo waweza kuwa tajiri lakini kesho ukawa masikini.

Endapo unaamini hayo yanaweza tokea wakati wowote, basi huna budi kumuheshimu yule asiye nacho, ulicho nacho wewe sababu wakati wowote unaweza ukawa katika hali aliyonayo mwenzako.
Nawatakia tafakari njema.

attachment.php

So touching.
 
Alafu uuzaji wa bidhaa kama hizi katika maeneo kama haya nihatari hata kwa afya za walaji.Mfanya biashara ndio alie mvunjia heshima mwenye gari.
 
attachment.php

Lakini picha inavyozungumza ni kama vile hakukuwa na ubishani wowote kabla ya hatua hii maana kwa hakika kama huyu mfanyabiashara alikaidi kutoa vitu vyake kupisha gari basi asingejisumbua pia kuvinusuru baada ya mwenye gari kuanza kukanyaga (najaribu tu kufikiri kwa kadri picha inavyoonesha sana sana huyu mchuuzi angerusha jiwe au
kupiga ngumi gari)
Ila ukitazama vizur picha yaelekea huyo bwana mchuuzi ndie pekee alikuwa jeur sababu najaribu kuanglia nyuma na mbele ya bidhaa zake hakuna bidhaa zingine na siamin kama alikuwa pekee yake tu .
 
ulichokisema ni sawa kabisa hasa kwa hii picha lakini nilizani tuheshimu tu hata wezi kama akina Anna Tibaijuka hapo nilikuwa nakupa mazafaka za kutosha.
 
Back
Top Bottom