tubadilike-sasa
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 681
- 167
Jifunze au Andaa Tender Documents zenye kukubalika serikalini
Bajeti ya Tanzania ni zaidi ya trilioni 22. Na mwaka kesho inaweza kupaa hadi trilioni 30 au zaidi.Fedha nyingi kati ya hizi hutumika kupitia tender mbalimbali za serikali.Je umejiandaa kupata asilimia ngapi ya fedha hii? Na kama unajuwa silimia yako kichwani je umeshajipanga vyema katika mchakato wa kuandaa tender?
Jifunze na au andaa tender zako kwa mtu aliyefanya kazi hizi kwa zaidi ya miaka 12.
Katika somo hili utajifunza kwa vitendo namna ya kuandaa tenda za serikali "Government Tender Documents Preparation" au (GTDP) zenye viwango na zinazokubalika na serikali kuu pamoja na taasisi zake na Halmashauri zote Tanzana nzima.
Pia utajifunza mikakati na mbinu mbalimbali za kukuwezesha kushinda tenda hizo na kupata kazi kwa wingi.Hata kama huna mtaji nitakuonyesha namna ya kuanza na mtaji wa laki moja(100,000/) tu. Haya ni mojawapo ya matunda ya uzoefu nitakayokumegea live bila chenga. Karibu tujenge uchumi wa familia
Wasiliana na Nicholas,mabadiliko2020@gmail.com