pingu mkoka
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 434
- 112
Je,unapenda kujifunza kuongea kichina?
Mandarin chinese
Kuanzia feb 1-2014 tutaanza kufundisha kichina,mafunzo ni miezi mitano,yaan feb 1_july 1.
Mahali sinza mapambano primary school iliyopo kinondon dar es salaam.
Mda ni juma 3 hadi ijumaa,kuanzia saa 11:30 jion had saa 2:00 usiku.masaa 2:30.
Ada ni sh.800,000,unaweza lipa kwa awamu.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na mwalimu Peter Majollo anapatikana SINO-TANZANIA FRIEND SHIP HOSPITAL iliyopo sinza mapambano kila siku isipokuwa juma pili tu.
Simu 0758-914370 yeyote anayependa kujifunza anakaribishwa sana.
Thanks.