Nyie Wanyiramba vipi?
Mmeandika TUJIFUNZE Kilugha chenu na watu tunaingia kusoma tunakuta kumbe watu wameamua KUONGEA Kikwao?
Au hamkusoma heading? Acheni tujifunze Kinyiramba maana wakati napita kwenda kwetu Tabora, sintapata shida kabisa kuongea na Vimwana vya Kinyiramba hapo Singida.
Bahati mbaya sana sijawahi kuwa karibu na Wanyiramba. Nimekuwa karibu sana na Wanyaturu hadi mwenyewe nashindwa kuelewa WHY? Wanyaturu ni HARD WORKER sana na wako OPEN. Nyie jamaa zao mna kama Ka-UHAYA fulani hivi: Nshomile sana, much know sana, Very rich sana, Smart sana ...................... Siwezi kuwatania kwa sababu Nyie na mie HATUNA UTANI. Vinginevyo hapa JF leo mngenikimbia.
Ila nikubali kuwa Kinyiramba na KiPARE kina maneno kama KIINGEREZA vile. Wanyakyusa wao wame-COPY na ku-PASTE English.