Jifunze jinsi ya kutumia vizuri android yako

Jifunze jinsi ya kutumia vizuri android yako

KARIAKOO SOFT
NOKIA83
NGOJA NIKUCHEKIE HALAF NITAKUJUUZA
 
BATTERY YA HTC DESIRE 816 ORIGINAL NI TSHS 40000 ELFU
 
Mkuu nataka kuiflash simu ni aina ya huwawei nimejaribu kukutext unielekeze ulipo hapo kariakoo naona kyima
 
Nina simu Samsung s4 nililset sasa sahizi nikizima au kuwasha inaandika android badala ya Samsung niifanyeje ili irudi kama zamani I??
Hiyo ni clone mkuu! Nothing you can do about it. Zingine huandika Mediatek... Karibu ulimwengu wa Smart phones
 
Mkuu, toka jana simu angu upande wa line ya voda nimeshindwa kutuma msg ila huduma zingine zinafanyika, nimewapigia customer care wa voda wananiambia hkn huduma iliyofungwa, nisaidie cha kufanya, natumia tecno c8.
Inawezekana centre namba ya mtandao husika hazipo zile ambazo zinatumika kutuma sms
 
Naweza kuiroot simu yangu hii
Vodafone vf 685
android version 4:4:2
kitkat
 
Kwa ufupi mimi na-deal software za simu sana sana kuflash simu kwa hiyo nina uzoefu mkubwa, nipo pale Kariakoo kwa hiyo ningependa kusikia swali lolote toka kwenu wadau.
==========

Hizi ni sababu kubwa zinazopelekea simu yako kuwa ya moto
1.Program kujiendesha zenyewe
2.Virus ambazo zinashugulisha program zisizo htajika kurun in background
3.Kufunga program ulikuwa unatumia kwa kutumia hom button

MASULIHISHO
  1. Hakikisha unafunga program yako kwa kutumia back button kwan hyo program ambayo ulikuwa unatumia itafunga moja moja
  2. Ukiweka angalia usidownload programm zozote ambazo zinakuwa zina pop up kwan zinaleta virus kwa kiasi kikubwa

Au tatizo likizidi kwa simu yako tafadhali kama una uwezo kuiflash sim yako au kuiupdates kama virus watakuwa wameathiri kwa kiasi kikubwa au tunaweza kuwasiliana kwa namba 0653868632 au fika Kariakoo soft barabara ya uhuru kwenye screen kubwa, pale ya matangazo ukifika pale tunaweza wasiliana ukaja ofisini
Je ni njia ya ku-unlock simu kwa software bila box waijua....tupe maelezo
 
kuna njia zaid ya 3 ya kutoa hyo message ya unfortnaterly ya kuroot sim baada ya kuflash ya pili ni.kufanya hard reset au soft

Msaada mkuu kuna Unlocked Tecno Y3+ nilitaka kuiflash kupitia recovery kwa zip file la Tecno Y3+ from SD card sasa kila niki wipe data na kuselect file ni flash inaniletea ujumbe huu "Installing is aborted" tatzo ni nini mkuu? au naweza flash kwa crack au flashing tool ipi?
Natanguliza shukrani.
 
Naweza kuiroot simu yangu hii
Vodafone vf 685
android version 4:4:2
kitkat

Inawezekana mkuu tena simple tu download KINGROOT ya version 4.x.x usichuke latest version ya kuanzia v5.x itakugomea mpaka uchoke.
 
Inawezekana mkuu tena simple tu download KINGROOT ya version 4.x.x usichuke latest version ya kuanzia v5.x itakugomea mpaka uchoke.
hebu nijaribu mkuu ila nilijaribu mpaka nikakata tamaa
 
hebu nijaribu mkuu ila nilijaribu mpaka nikakata tamaa

Mkuu hakikisha pia unatumia strong network ndio msingi wa process nzima ya ku root kama unatumia poor network basi hautafanikiwa kirahisi itakua inahesabu na kuishia katikati ya process, pia unaweza jaribu kuroot kwa kutumia framaroot nayo iko poa.
 
Back
Top Bottom