Jifunze jinsi ya kutumia vizuri android yako

Jifunze jinsi ya kutumia vizuri android yako

Mbona huyu jmaa anaonekana wa kawaida sna mana ata maswali yenyewe anajibu shallow shallow sana.
 
Kwa ufupi mimi na-deal software za simu sana sana kuflash simu kwa hiyo nina uzoefu mkubwa, nipo pale Kariakoo kwa hiyo ningependa kusikia swali lolote toka kwenu wadau.
==========

Hizi ni sababu kubwa zinazopelekea simu yako kuwa ya moto
1.Program kujiendesha zenyewe
2.Virus ambazo zinashugulisha program zisizo htajika kurun in background
3.Kufunga program ulikuwa unatumia kwa kutumia hom button

MASULIHISHO
  1. Hakikisha unafunga program yako kwa kutumia back button kwan hyo program ambayo ulikuwa unatumia itafunga moja moja
  2. Ukiweka angalia usidownload programm zozote ambazo zinakuwa zina pop up kwan zinaleta virus kwa kiasi kikubwa

Au tatizo likizidi kwa simu yako tafadhali kama una uwezo kuiflash sim yako au kuiupdates kama virus watakuwa wameathiri kwa kiasi kikubwa au tunaweza kuwasiliana kwa namba 0653868632 au fika Kariakoo soft barabara ya uhuru kwenye screen kubwa, pale ya matangazo ukifika pale tunaweza wasiliana ukaja ofisini
Naomba suluhisho, simu yangu (Huawei G6 u10) huwa inajaa mara kwa mara hata nikitoa media zote za whatssap (ambazo maranyingi zinakula space) bado space kubwa inaonekata imetumika.

Nikiformat ndipo inaonesha ina space kubwa hata nikiweka apps zote inabakia nafasi ya kutosha. Je kuna files huwa zinajificha zinazokula space? Msaada tafadhali
 
KARIAKOO SOFT
GUYS SAMAHAN KWA KUTOJIBU MASWALI YENU ON TIME LAKN NAJITAID NIFANYE MPANGILIO MZUR ILI NIWEZE KUWA NA WATU NYIE KARIBU LAKN KWA MSAADA ZAID UNAWEZA KUFIKA KARIAKOO BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI KWENYE SCREEN KUBWA YA MATANGAZO KWA USHAUR NA MSAADA CTOMCHAJ M2 GHARAMA YOYOTE ILE HATA KWA WALE WANAOHITAJI KUJIFUNZA JINSI YA KUFLASH SIM PIA MNAKARIBISWA
MAWASILIANO 0653868632
 
Jamaa yangu mmoja ka factory reset samsung note 4 version 5. Reactivation lock ilikuwa on na hakuwa na p/w sasa simu imegoma haifanyi chochote nasikia hiyo ndo icloud ya samsung kwa lollipop sln yake ni nini?
 
ITABIDI AWEZE KUBYPASS HYO ACCOUNT ILIAWEZE KUTUMIA YY
JINSI YA KUBYPASS SAMSUNG ACCOUNT
KAMA UTAKUWA UNAUELEWA KDG WA SIMU UNAWEZA INGIA YOUTUBE KUSEARCH HILO FILE NA BYPASS HYO SAMSUB ACC
 
KARIAKOO SOFT
GUYS SAMAHAN KWA KUTOJIBU MASWALI YENU ON TIME LAKN NAJITAID NIFANYE MPANGILIO MZUR ILI NIWEZE KUWA NA WATU NYIE KARIBU LAKN KWA MSAADA ZAID UNAWEZA KUFIKA KARIAKOO BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI KWENYE SCREEN KUBWA YA MATANGAZO KWA USHAUR NA MSAADA CTOMCHAJ M2 GHARAMA YOYOTE ILE HATA KWA WALE WANAOHITAJI KUJIFUNZA JINSI YA KUFLASH SIM PIA MNAKARIBISWA
MAWASILIANO 0653868632
Naamini umeleta humu huu uzi si kwa matangazo ya biashara yako bali kupanua uelewa kwa wengine, na si matangazo tu. Niko Lorya Mara, nimeomba kujibiwa hoja hapo juu, siwezi kufika K/koo kupata hiyo uelewa, thamani ya simu tu itaishia njiani.

Jitahidi kujibu hoja
 
SIO KILA KITU KITAHITAJ UELEKEZAJI WA MAANDISHI BALI KUNA BAADHI YA VITU VITAHITAJI VITENDO KWA HIYO MIMI KUTOA NAMBA ZANGU ZA SIMU AU KUELEKEZA MAHALI MIMI SIONI KAMA NI KOSA KWA MASWALI AMBAYO YATAWEZA KUJIBIKA KWA MFUMO WA MAANDISH BASI NITAFANYA HVYO NA KAMA SIO NITAWAELEKEZA MAHALI NILIPO KWA MSAADA ZAIDI
 
hebu ni PM ofisi yako ilipo nikuletee kazi au weka hapa location ofisi yako ipo mtaa gani

Amejitaja hapa

Au tatizo likizidi kwa simu yako tafadhali kama una uwezo kuiflash sim yako au kuiupdates kama virus watakuwa wameathiri kwa kiasi kikubwa au tunaweza kuwasiliana kwa namba
0653868632 au fika Kariakoo soft barabara ya uhuru kwenye screen kubwa, pale ya matangazo ukifika pale tunaweza wasiliana ukaja ofisini
 
  • Software gani unashauri itumike ku scan na kuondoa virus kwenye android
  • Naondoaje au nasimamishaje program zinazo-run kwenye background ili kuipunguzia joto na mzigo simu
 
Nina samsung s5 nataka kui update kwenda lollipop au marshmallow
 
d8829ef49996431a50ad62bf1ca88861.jpg
 
KAMA UNACOMPUTER DOWNLOAD SAMSUNG KIES BAADA YA HAPO INSTALL HALAF CHOMEKA SIMU NA COMPUTER KWA KUPITIA USB CABLE HALAF FUATA MAELEKEZO YA KUUPGRADE SIMU YAKO
 
KAMA UNACOMPUTER DOWNLOAD SAMSUNG KIES BAADA YA HAPO INSTALL HALAF CHOMEKA SIMU NA COMPUTER KWA KUPITIA USB CABLE HALAF FUATA MAELEKEZO YA KUUPGRADE SIMU YAKO
Nimedownload kies 3. Vipi inafaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom