Jifunze jinsi ya kutumia vizuri android yako

Jifunze jinsi ya kutumia vizuri android yako

sigma box ni hardware ambayo inatumika kuunlock pia software yake ipo lakn haiwez kufanya kaz ya bila ya kuwa na box
 
MAHALI:Barabara ya uhuru na msimbaZI karibu na jengo la maandishi ya tecno ya rang ya blue au kwenye screen kubwa ya matangazo ukifika hapo tuwasiliane tafadhali
MAWASILIANO:0653868632
 
Sasa si ni yale yale ya kwenda kwa mafundi.

Mi nilidhani baada ya hili naenda kuanlock simu yangu.
 
KUHUSIANA NA BBZ30 ID INAWEZA KUTOKA LAKN NINGEPENDA KUJUA HIYO BB INAOS YA YA NGAP ILI NIWEZE KUTOA MAELEKEZO YA KUTOA HYO BBID TAFADHALI RUDISHA MAJIBU KWA MUENDELEZO
 
Ni jinsigani naweza ku-unlock simu ya lain moja itumie lain tofauti?

Hasa simu zisizo unlokiwa kwa code mfano halotel.
 
SMOKEY
KUHUSIANA NA BEI YA HAYO MABOX YA KUFLASH NA KUNLOCK SIM TAFADHALI NIAMBIE NI BOX GAN UNGEPENDA KUJUA BEI LAKN BOX BEI ZAKE NI KUANZIA LAKI 1 NA NUSU HAD LAKI TANO
 
Smart yangu niliunstall whasap kwaio nawezaje kupata kustoo whasap bora kabsa na unipe link nistoo iti.
 
Nina simu Samsung s4 nililset sasa sahizi nikizima au kuwasha inaandika android badala ya Samsung niifanyeje ili irudi kama zamani I??
 
Ni jinsigani naweza ku-unlock simu ya lain moja itumie lain tofauti?

Hasa simu zisizo unlokiwa kwa code mfano halotel.
Mi natumia halotel H8501 nilipeleka kuflashi ametumia software lakini alificha pc aliyotumia kuflash hi android na sasa natumia laini zozote si halotel tu

kuna piranha box,miracle box,volcano box,z3x,bst,sigma nk
 
kuunlock sim za promotion kwa mfano kama tecno y3+,tecno,huawei,vodafone,bravoz10,halotel,samsung n.k inahtajika box ya kukuwezesha kuunlock box hii inaitwa sigma box baada ya kuwa nayo unaweza maelekezo kutoka google kama hauna itakubd utafute sehem wanazoflash na kuunlock waweze kukutimizia lengo lako
Mkuu tecno y3+ ina unlockiwa kwa sh. Ngap sasa!?
 
Kwa ufupi mimi na-deal software za simu sana sana kuflash simu kwa hiyo nina uzoefu mkubwa, nipo pale Kariakoo kwa hiyo ningependa kusikia swali lolote toka kwenu wadau.
==========

Hizi ni sababu kubwa zinazopelekea simu yako kuwa ya moto
1.Program kujiendesha zenyewe
2.Virus ambazo zinashugulisha program zisizo htajika kurun in background
3.Kufunga program ulikuwa unatumia kwa kutumia hom button

MASULIHISHO
  1. Hakikisha unafunga program yako kwa kutumia back button kwan hyo program ambayo ulikuwa unatumia itafunga moja moja
  2. Ukiweka angalia usidownload programm zozote ambazo zinakuwa zina pop up kwan zinaleta virus kwa kiasi kikubwa

Au tatizo likizidi kwa simu yako tafadhali kama una uwezo kuiflash sim yako au kuiupdates kama virus watakuwa wameathiri kwa kiasi kikubwa au tunaweza kuwasiliana kwa namba 0653868632 au fika Kariakoo soft barabara ya uhuru kwenye screen kubwa, pale ya matangazo ukifika pale tunaweza wasiliana ukaja ofisini
Mkuu, toka jana simu angu upande wa line ya voda nimeshindwa kutuma msg ila huduma zingine zinafanyika, nimewapigia customer care wa voda wananiambia hkn huduma iliyofungwa, nisaidie cha kufanya, natumia tecno c8.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom