Sangoma
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 344
- 165
sigma box ni software ambayo ili iweze kufanya kazi lazima uwe na box yake kama hii hapaHiyo sigma box n app?
sigma box ni software ambayo ili iweze kufanya kazi lazima uwe na box yake kama hii hapaHiyo sigma box n app?
we kama kanjanja flani hivi sigma box ni hardware we kanjanja acha kutaka kuibia watu we nirafiki wa fundi na si fundi kwa kifupi wewe ni dalali wa kazi za watusigma box ni hardware ambayo inatumika kuunlock pia software yake ipo lakn haiwez kufanya kaz ya bila ya kuwa na box
unaweza kutoa blackberry ID ktk blackberry Z30MATUMIZI MAZURI YA SMARTPHONE YAKO
NIPO HAPA KUJIBU MASWALI YENU WAFMDAU
Nenda Mlimany City na Msasani mall kuna iStoreNataka betri ya iphone4s ni bei gani na ufundi""?Na kubafili kioo cha iphone 4g bei gani?
Nazijua hizi mall, hawana msaada kwangu.. Hawa wanauza simu mpya na kusaidia mamno ya software.. Hata shoppers masaki wapo...Nenda Mlimany City na Msasani mall kuna iStore
nitakutafuta nikimpata yule alotaka kuniuzia hiyo simu 7bu nilishindwa kuinunua kutokana na hyo ishu wengi walishindwaa kkooHAPANA OFFICIAL UPDATE BADO HUAWEI HAWAJATOI LABDA TUWEKE CUSTOM ROM
Hiyo simu sidhan kama ina custom rom na hata ikiwepo itakua sio stable kabisa..nitakutafuta nikimpata yule alotaka kuniuzia hiyo simu 7bu nilishindwa kuinunua kutokana na hyo ishu wengi walishindwaa kkoo
[emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hiyo simu sidhan kama ina custom rom na hata ikiwepo itakua sio stable kabisa..
Chakufanya nunua hata samsung au brand yoyote yenye support kubwa ya developers ili uweze kupata hizo updates incase ukakosa official updates
Storage imejaa ..futa baadhi ya Vitu ndio utaweza kupiga picha🙁Iphne yangu haipigi picha