Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,629
Equity card yao ni Visa Debit, kupokea refund moja kwa moja inakuwa ni ngumu sana kwa usalama wa ac yako wanavyodai. Kama card ya bank ni bora utafute hizi pre-paid card kama za Exim au BancABC hizo refund zinaingia moja kwa moja. Ila hata m-pesa virtual card ipo vizuri.Naona bora kutumia M-PESA mastercard kwa ajili ya malipo ya mtandaoni maana hata kama kuna refund unaipata moja kwa moja kwenye kadi yako na unaweza kuhamishia hiyo hela kwenda M-PESA moja kwa moja.