Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

i 37

i 37

Member
Joined
Dec 6, 2018
Messages
66
Points
95
i 37

i 37

Member
Joined Dec 6, 2018
66 95
Mm eBay nachukuaga sana mizigo
Na bidhaa nyingi nauza humu jf

mkuu chief-mkwawa mm natumia box la chuo hivo silipiagi kitu chochote zaidi ya ile shiping fee iliyoandikwa na muuzaji

Kama alivyo sema chief-mkwawa inabidi kuangalia repitation ya seller

Maana mm kama mnakumbuka nilianzisha thread ya "hivi eBay ni genuine market place" sababu niliona iPhone 5 $14.99 na Mac book mpya $24.99
seller alikuwa wa china na akuwa na positive feedback hata moja
Baada ya dakika na baada ya mm kufanya payment nikaambiwa kwa email, item removed

Namshukuru Mungu nili open case nakikawa refunded lkn hadi leo hii refund sijawahi kuiona kwenye Bank statement naliamua chuna tu

HOPE YOU WILL LEARN FROM WHAT HAPPENED TO ME
Me niliagiza cm all express processing time ikawa ndefu sana nikaamua kukancell order nikaambiawa refound ni ndani ya ck 15 unaamaana iyo ela cita ipata tena
 
K

Kibukila

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Messages
661
Points
250
K

Kibukila

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2011
661 250
Me niliagiza cm all express processing time ikawa ndefu sana nikaamua kukancell order nikaambiawa refound ni ndani ya ck 15 unaamaana iyo ela cita ipata tena
Mimi mzigo nilioagiza seller alisema bidhaa ni mbovu atarefund haraka nikancel order.Nilicancel order hela ikaingia kwenye Mpesa Mastercard yangu moja kwa moja.Nadhani sasa hivi Aliexpress wako vizuri wakati wa kurefund.
 
ashomile

ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,524
Points
2,000
Age
29
ashomile

ashomile

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,524 2,000
Mimi nimeagiza kupitia kwa mtu mwenye ujuzi wa kununua online cover ya oppo a3s kwa elfu kumi na saba ila nzuri sana nimetokea kuipenda sana, Nasubiria kufikia mwezi wa sita naweza kuwa nayo mkononi.
 
daraja la kigamboni

daraja la kigamboni

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2016
Messages
250
Points
250
daraja la kigamboni

daraja la kigamboni

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2016
250 250
Tatizo la ebay vitu vingi ukijaribu kununua unaambiwa the seller does not ship to your country halafu naona bei zao ziko juu kidogo
 
msukuma.com

msukuma.com

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2016
Messages
889
Points
1,000
msukuma.com

msukuma.com

JF-Expert Member
Joined Jan 21, 2016
889 1,000
Mimi niliagiza mfuniko wa sumu yangu tangu tarehe 25/2/2019 na estimated delivery date was 21/4/2019 nikachek naona wanasema mpk 10/5/2019 nikachek tena nakuta wame expand muda mpaka 25 mwezi huu 5 na nikiangalia ndege haijatua na nilitumia shipping ya Singapore
 
Mr. Mobile

Mr. Mobile

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Messages
1,099
Points
2,000
Mr. Mobile

Mr. Mobile

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2017
1,099 2,000

Itakuwa ulitumia unregistered mail, sababu Singapore post registered huwa haichukui zaidi ya wiki tatu mzigo kufika nchini.
 
i 37

i 37

Member
Joined
Dec 6, 2018
Messages
66
Points
95
i 37

i 37

Member
Joined Dec 6, 2018
66 95
Mimi mzigo nilioagiza seller alisema bidhaa ni mbovu atarefund haraka nikancel order.Nilicancel order hela ikaingia kwenye Mpesa Mastercard yangu moja kwa moja.Nadhani sasa hivi Aliexpress wako vizuri wakati wa kurefund.
Me yangu inaonekana tayari lakini cjatumiwa kwenye account ila imeniandikia refound complete
 
i 37

i 37

Member
Joined
Dec 6, 2018
Messages
66
Points
95
i 37

i 37

Member
Joined Dec 6, 2018
66 95
Nilifanya muamala ebay na mzigo haujatumwa paka dead line ilipofika nikafungua return case lakini mpaka sasa cjaona update ya aina yeyote ss cjajua ndo nimeshazulumiwa au vp
 
Mr. Mobile

Mr. Mobile

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Messages
1,099
Points
2,000
Mr. Mobile

Mr. Mobile

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2017
1,099 2,000
Haya mambo ya online purchase yanahitaji umakini mkubwa sana, lazima uwe mfuatiluaji haswaa!
Nilifanya muamala ebay na mzigo haujatumwa paka dead line ilipofika nikafungua return case lakini mpaka sasa cjaona update ya aina yeyote ss cjajua ndo nimeshazulumiwa au vp
 
JOAQUEM

JOAQUEM

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Messages
1,676
Points
2,000
JOAQUEM

JOAQUEM

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2012
1,676 2,000
Wamenambia paka niwe na email inayo onyesha kua umeshapokea refound ne me iyo mail cjatumiwa ila refuond status inaonekana complete toka tarehe 10
Kama ulifanya transaction kwa paypall na paypall wameonyesha refund imeshatumwa kwenye A/C yako ya Equity nenda tawi lililokaribu nawe la Equity utapewa form utajaza...baada ya siku saba za kazi pesa itaingia..
 
Forum statistics

Threads 1,295,921
Members 498,479
Posts 31,228,229
Top