Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Ndiyo mkuu, Maana kuna kitu nijaribu kununua nikaona option ya kutoka kwa muuzaji mwenyewe bila kupitia hzo shipping agents
Kifupi sijawahi ila unaweza kununua cha muhimu hakikisha Unalipia kupitia PayPal.
Wengine waliowahi kununua from factory watakuja kutoa uzoefu wao hapa
 
Leo siku ya tatu mzigo umeingia ni simu lakini naambiwa custom wapo nao na siambiwi chochote cha kufanya...je nifanye nini kwa wazoefu kwa hatua hii?
mimi ni hivyo hivyo leo nikaenda posta wameniambia jana na juzi hawakuwa na network ila jumatatu wanafanyia kazi jumanne itakua tayari.
 
mimi ni hivyo hivyo leo nikaenda posta wameniambia jana na juzi hawakuwa na network ila jumatatu wanafanyia kazi jumanne itakua tayari.
Inaweza ikawa kweli ila wakati mwingine wanakuwaga wavivu tu,
Umeme na network ndio visingizio vyao
 
Baadhi ya seller wanakuwa out of stock yaani bidhaa husika inakuwa imesha hivyo wa nasubiri waletewe nyingine ndo wakutumie au wakati mwingine wa azembea tu.
Fungua dispute ndugu, seller atakuja kujiongeza mbele kwa mbele
Shukrani kaka. Wacha nifungue dispute.
 
mimi ni hivyo hivyo leo nikaenda posta wameniambia jana na juzi hawakuwa na network ila jumatatu wanafanyia kazi jumanne itakua tayari.
Yaweza kuwa kweli network ina shida maana hata mimi natumiaga hii
41.59.86.101/Tracking/IPSWeb_submit_aspx.htm

kwa ajili ya kutrack item zangu hapa TZ lakini toka juzi haikubali, na hii ndiyo inaonyeshaga kama mzigo umeshaingia Tz.
 
Kk me nilishafunguaga account uko na nishaagiza mizigo kadhaaa naweza badili icho kipengele cha msafirishaji
 
Mimi nilinunua wireless headphone ninesubiri zaidi ya siku 60 kwa singapore post
Ndio nimepata leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…