Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,519
Unamaanisha direct kutoka kwa manufacturer au?Hivi hawa direct shipping from seller, nani Alisha wahi kununua mzigo na akapa bila ukiritimba wa kuzungushana on line
Unamaanisha direct kutoka kwa manufacturer au?Hivi hawa direct shipping from seller, nani Alisha wahi kununua mzigo na akapa bila ukiritimba wa kuzungushana on line
Ndiyo mkuu, Maana kuna kitu nijaribu kununua nikaona option ya kutoka kwa muuzaji mwenyewe bila kupitia hzo shipping agentsUnamaanisha direct kutoka kwa manufacturer au?
Kifupi sijawahi ila unaweza kununua cha muhimu hakikisha Unalipia kupitia PayPal.Ndiyo mkuu, Maana kuna kitu nijaribu kununua nikaona option ya kutoka kwa muuzaji mwenyewe bila kupitia hzo shipping agents
mimi ni hivyo hivyo leo nikaenda posta wameniambia jana na juzi hawakuwa na network ila jumatatu wanafanyia kazi jumanne itakua tayari.Leo siku ya tatu mzigo umeingia ni simu lakini naambiwa custom wapo nao na siambiwi chochote cha kufanya...je nifanye nini kwa wazoefu kwa hatua hii?
Inaweza ikawa kweli ila wakati mwingine wanakuwaga wavivu tu,mimi ni hivyo hivyo leo nikaenda posta wameniambia jana na juzi hawakuwa na network ila jumatatu wanafanyia kazi jumanne itakua tayari.
Shukrani kaka. Wacha nifungue dispute.Baadhi ya seller wanakuwa out of stock yaani bidhaa husika inakuwa imesha hivyo wa nasubiri waletewe nyingine ndo wakutumie au wakati mwingine wa azembea tu.
Fungua dispute ndugu, seller atakuja kujiongeza mbele kwa mbele
Umeshafungua?Shukrani kaka. Wacha nifungue dispute.
Bado mkuu....Umeshafungua?
Nimefungua jioni hii mkuu.....Umeshafungua?
Yaweza kuwa kweli network ina shida maana hata mimi natumiaga hiimimi ni hivyo hivyo leo nikaenda posta wameniambia jana na juzi hawakuwa na network ila jumatatu wanafanyia kazi jumanne itakua tayari.
Ni nimejaribu Ku track mzigo wangu lakini sijaona sehemu ya malipo aise,Samahani wakuu wa kaya. Hivi kuna gharama za ziada wana charge 17track pale unapotumia mtandao wao.
Me nili uziwa bluetooth speaker feki na ikawa mwisho wa kutumia iyo k2Shenzi zao Seller wa Ebay kwa kuendeleza Mchezo wa kuremove items siku chache mbele baada ya kufanya manunuzi.
top seller wao wenyewe ni wa kuwasaka kwa torch alafu wengi hawaship Tanzania.
Wacha tukomae na wachina wetu wa Aliexpress,Banggood na Gearbest hata vitu vya Thamani ndogo unaweza kuvitrack fresh.
View attachment 1170575
View attachment 1170574
View attachment 1170562
Kk me nilishafunguaga account uko na nishaagiza mizigo kadhaaa naweza badili icho kipengele cha msafirishajiYes Anwani ya Binafsi,Taasisi au Hata ya kazini zote zinafaa.
Kama ndio mara ya kwanza Jisajiri Aliexpress kwa kujaza detail zako muhimu then anza kuagiza.
Ila kila unapoagiza kumbuka kuchagua Courrier kama ifuatavyo:-
View attachment 1171194na
1.kama utachagua hao niliozungushia rangi nyekundu kama watawahisha mzigo wako utapokea ndani ya siku 30 na wakichelewesha utasubiri hadi siku 90 au zaidi.
Ni mara chache sana ndio unaweza kuwahi.
2.Hapo kwenye Blue wakiwahi ni siku 23 ila hawatabiriki inaweza ikachukua mwezi na siku kadhaa.
3.Orange hiyo ndio standard shipping ila wakati mwingine inaweza Ikaandikwa Singapore post, hao ndio wakombozi wetu maana mzigo unafika ndani ya siku 23 na ukichelewa sana ni wiki 5 ila wakati mwingine inatokea mzigo unaingia ndani ya siku 12.
NB. Gharama za shipping inategemea alivyopanga Seller
Mpaka Leo Darubini yangu imepotelea hewani aise, EBay tapeli sana,Me nili uziwa bluetooth speaker feki na ikawa mwisho wa kutumia iyo k2
Kipengele unachagua kila unaponunua bidhaa.Kk me nilishafunguaga account uko na nishaagiza mizigo kadhaaa naweza badili icho kipengele cha msafirishaji
Open dispute kama muda unaruhusuMpaka Leo Darubini yangu imepotelea hewani aise, EBay tapeli sana,
Nilisha fungua ila majibu yao wanasema mpka waongee na muzaji kwanza, waone anasemaje!Open dispute kama muda unaruhusu