*JIFUNZE ITAKUSAIDIA*

errynest s Lukindo

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
484
165
***KWA WATUMIAJI WA MTANDAO WA WHATSAPP****
Whatsapp haina siri tena. Fahamu Jinsi ya kusoma sms kwenye akaunti ya rafiki yako whatsapp
1. Search jina la rafiki yako toka contacts zako
2. Nenda kwenye Message
3. Kwenye sehemu ya compose
4. Andika *2345#. Sehemu ya kuandikia ujumbe na kisha andika jina lake
5. Subiri
6. Kisha subiri tena kidogo halafu zima simu ukafanye shughuli zako maana hakuna ujinga kama huo...!!
 
Back
Top Bottom