NingaR
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 2,759
- 593
Mimi naomba msaada wa software ya kubadilisha desktop computer iwe laptop! Nitashukuru kwa kunisaidia.
Ukipata namimi nitaarifu maana hii kisogo yangu imenichosha??
Mimi naomba msaada wa software ya kubadilisha desktop computer iwe laptop! Nitashukuru kwa kunisaidia.
Hii kali mkuu!!!Mimi naomba msaada wa software ya kubadilisha desktop computer iwe laptop! Nitashukuru kwa kunisaidia.
mi naconvert 1gb iwe 1024 mB au 1048576 kB any one interested
mi naconvert 1gb iwe 1024 mB au 1048576 kB any one interested
hivi nokia 3310 unaweza weka software ikakamata 3G!
Mimi naomba msaada wa software ya kubadilisha desktop computer iwe laptop! Nitashukuru kwa kunisaidia.
Jamani hii thread inafurahisha kila post.............naendelea kupitia moja mojaMimi naomba msaada wa software ya kubadilisha desktop computer iwe laptop! Nitashukuru kwa kunisaidia.
![]()
NO hauwezi fanya simu ambayo haina 3G ishike 3G kwa sababu 3G ni hardware based technology na kuna vifaa maalumu vinayo fungwa kwenye simu kwaajili 3G, nisawa na kununua simu isiyo kua na camera then eti uiwekee camera that's is impossible, I hope umenielewa