hapa ni wapi na lini? mama yupo inlove huyo hamjui body language nyinyi
Lazima Mbowe atakua anasema kitu kinachomuudhi
Labda kama sarcasm inserted lakini kwa jinsi alivyokunja mabega yake kwa ndani na mikono yake ilivyojifunga (boundary) ni dhahiri kuwa hafurahishwi na anachokiona/kisikia. Mtu anaweza kudanganya facial expression (tabasamu au kununa) kwasababu toka utoto wengi hufundishwa kutabasamu mbele za watu au kwenye kamera lakini si rahisi kudanganya other body parts (torso) unless uwe umejifunza kudanganya (mfano corn artists, wanasheria, majasusi n.k)mama yupo inlove huyo hamjui body language nyinyi