Jicho ndani ya habari startv, Moses apwaya sana

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
7,452
Reaction score
3,073
Atetea kugushiwa kwa Saini za Nyerere na Msekwa, Wanahabari wenzake na wananchi wamshangaa uwezo wake na uelewa wake wa mambo, Edwin amvaa uso kwa uso, ajibu kwa muita Edwin ni bwana mdogo, Je Moses ndo yule au kila mtanzania ananunulika???

Moses ameshabikia vitu vya hovyo kibao ikiwemo, waandishi kunyimwa habari eti baada ya kamati kujadili ndo wanakamati wawasiimue waandishi. Abeid apinga kabisa suala hilo na kusema ameathirika ktk utendaji, amedai wamechujwa kwa kina, kamati na.6 wasira amekaa kimya sku 3 hiyo inakuwaje?? ampongeza kilango kwa kujitahidi kutoa habari mapema

Nawasilisha
 
Moses Mathew, vyombo vya serikali ni kwaajili ya serikali na sio wananchi, magezati ya mtanzania daima, ----- ndo oxygen ya wananchi, Je moses kushabikia magazeti ya serikali kuwa sio kwa manufaa ya wananchi ni sawa??? unalipa kodi kwa ajili ya nini???
 
kughushi ni kosa la jinai,najua ni kazi ya tiss hii.
 
TATIZO kubwa ni Samweli sita kutoa upendeleo kwa Vyombo vya habari vya Chama chake kama Uhuru, Mzalendo na Gazeti la Serikali Habari Leo, ili waandike habari za upande mmoja, bila kubalance habari. Vyombo Huru vya Habari kama Raia Mwema, Mwananchi, Tanzania Daima vimekosa ruhusa ya kuingia katika Kamati za Bunge la Katiba.

Sasa hawa Uhuru, Habari leo wanaandika habari zenye mrengo mmoja tu ili kuwaaminisha wananchi jambo fulani. Kwa nini hawaleti balanced stori? Ni kama kula ugali tu bila mboga na matunda...... Something lacking...
 
Hivi Tz imefika hapo, unyanyapaa mpaka ktk kupata habari. Kisha mtu asiyejiheshimu lakini anataka aitwe mheshimiwa yaani mwanasiasa atalalama na kusema nchi inaongozwa kwa misingi ya uwazi, haki, sheria na tenzi nyingine nyingi. Haki ipi, kama kuhabarishwa nako kunakuwa kwa kimahaba.

Amka mtz usilale, tembo haooo, twiga ndo usiseme na sasa hata sikio lako linachaguliwa cha kusikia au kusikiliza na macho yanatengewa ya kusoma. Mtakoma
 
sick n tired na upuuzi huu unaoendelea kuhusiana na hati wakati Tembo wanaangamia, Bei ya Umeme Juu, Dhahabu inakwisha, Gesi imeshachukuliwa, Payee inawaumiza wafanyakazi, wakulima wafugaji wanachinjana, kodi zetu zinatumika kuwalipa wabunge wajinga wajinga kama akina mtikila et al... Matatizo yetu ni HATI? Muungano? think big...hawa watu wanatuproject watakavyo....
 
Sijawahi ona comments za kipuuzi kama hizi.
 
Atetea kugushiwa kwa Saini za Nyerere na Msekwa, Wanahabari wenzake na wananchi wamshangaa uwezo wake na uelewa wake wa mambo, Edwin amvaa uso kwa uso, ajibu kwa muita Edwin ni bwana mdogo, Je Moses ndo yule au kila mtanzania ananunulika???

Moses ameshabikia vitu vya hovyo kibao ikiwemo, waandishi kunyimwa habari eti baada ya kamati kujadili ndo wanakamati wawasiimue waandishi. Abeid apinga kabisa suala hilo na kusema ameathirika ktk utendaji, amedai wamechujwa kwa kina, kamati na.6 wasira amekaa kimya sku 3 hiyo inakuwaje?? ampongeza kilango kwa kujitahidi kutoa habari mapema

Nawasilisha

Nimeshangazwa sana na tabia zake, kwanza kupita mbele ya host na camera ikiwa on! Kisha kupoteza mwelekeo nadhani baada ya kuambiwa "nina wasiwasi na ufahamu na profession yako" na ndipo kunyoosha mkono na "bwana mdogo" na maneno kama "kukurupuka, kulishwa" yalioanza. Sijui anapata kuitwaje mchambuzi!!

Hili ni ukiachilia mbali fact kwamba alipwaya sana katika mada!!
 
Sijawahi ona comments za kipuuzi kama hizi.
Kwa akili ya kubebewa kama yako...Je? una uhalali gani wa kutumia jina la Nyerere?... Yaani wewe unakataa kuwa matatizo yetu watanzania si kupanda kwa gharama za maisha? unakataa kuwa Rasilimali zetu hazitunufaishi na badala yake inawanufaisha wawekezaji uchwara? Unakataa kuwa ujangili si tatizo? Yaani wewe kwako Matatizo ya wananchi ni HATI ya Muungano?...
 
Lakini nchi inakufa kwa kupitia watu kama moses, ambayo taaluma ni kumiliki vyeti na sio weledi mbobevu. Lakni dhihaka na dhuruma katika maisha zitaisha tu
 
TATIZO kubwa ni Samweli sita kutoa upendeleo kwa Vyombo vya habari vya Chama chake kama Uhuru, Mzalendo na Gazeti la Serikali Habari Leo, ili waandike habari za upande mmoja, bila kubalance habari. Vyombo Huru vya Habari kama Raia Mwema, Mwananchi, Tanzania Daima vimekosa ruhusa ya kuingia katika Kamati za Bunge la Katiba.

Sasa hawa Uhuru, Habari leo wanaandika habari zenye mrengo mmoja tu ili kuwaaminisha wananchi jambo fulani. Kwa nini hawaleti balanced stori? Ni kama kula ugali tu bila mboga na matunda...... Something lacking...

Mmhhhh jamani hv hata gazeti la tanzania daima unaweza kusema ni chombo huru cha habari?
 
Tatizo ni kuwa umegoma kujishughulisha ili kujua chanzo cha hayo yote ni nini? Ni lazima uende kwenye chanzo cha tatizo. Chanzo kikuu ni sheria mama yetu - katiba.

Kwa akili ya kubebewa kama yako...Je? una uhalali gani wa kutumia jina la Nyerere?... Yaani wewe unakataa kuwa matatizo yetu watanzania si kupanda kwa gharama za maisha? unakataa kuwa Rasilimali zetu hazitunufaishi na badala yake inawanufaisha wawekezaji uchwara? Unakataa kuwa ujangili si tatizo? Yaani wewe kwako Matatizo ya wananchi ni HATI ya Muungano?...
 
Kama huwezi unasema chochote kuhusu jiko na vifaa vya jikoni basi wewe ni wa ajabu sana kuzungumzia usafi wa chakula
 
sick n tired na upuuzi huu unaoendelea kuhusiana na hati wakati Tembo wanaangamia, Bei ya Umeme Juu, Dhahabu inakwisha, Gesi imeshachukuliwa, Payee inawaumiza wafanyakazi, wakulima wafugaji wanachinjana, kodi zetu zinatumika kuwalipa wabunge wajinga wajinga kama akina mtikila et al... Matatizo yetu ni HATI? Muungano? think big...hawa watu wanatuproject watakavyo....

huyu naye anaona amepost jambo la maana? kungekuwa na kipimo cha kuangalia umri,elimu,akili na malezi jamiiforum ingesaidia sana kuchuja watu wa hovyo hovyo. hasa kama huyu wa div 5
 
moses hana tofauti na wachangiaji kama msalani,ifweero,abakarokamo,lusungo waliopo huku jf,huyu bwana kina doto bulendu sijui wanachompendea nini jitu lenyewe ni pumba tu kila siku linaongea hana faida anauza sura tu
 
Mimi lawama namtupia Dotto Bulendu kwa kumwalika huyu "kihiyo" aitwaye Moses. Huyu siyo mchambuzi na hawezi kuwa. Hajui anachoongea, zaidi ni hasira hasira tu za kipuuzi akiulizwa swali gumu. Tafadhali, usimwalike tena kwenye kipindi. Kama huna watu wengine bora uchambuzi uufanye we mwenyewe au kipindi kiahirishwe.
 
Kwa akili ya kubebewa kama yako...Je? una uhalali gani wa kutumia jina la Nyerere?... Yaani wewe unakataa kuwa matatizo yetu watanzania si kupanda kwa gharama za maisha? unakataa kuwa Rasilimali zetu hazitunufaishi na badala yake inawanufaisha wawekezaji uchwara? Unakataa kuwa ujangili si tatizo? Yaani wewe kwako Matatizo ya wananchi ni HATI ya Muungano?...

Mkuu angalia jina sio nyerere ni nyenyere

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa akili ya kubebewa kama yako...Je? una uhalali gani wa kutumia jina la Nyerere?... Yaani wewe unakataa kuwa matatizo yetu watanzania si kupanda kwa gharama za maisha? unakataa kuwa Rasilimali zetu hazitunufaishi na badala yake inawanufaisha wawekezaji uchwara? Unakataa kuwa ujangili si tatizo? Yaani wewe kwako Matatizo ya wananchi ni HATI ya Muungano?...

Msamehe bure tu
 
Back
Top Bottom