Jicho ndani ya habari startv, Moses apwaya sana

Jicho ndani ya habari startv, Moses apwaya sana

Mimi lawama namtupia Dotto Bulendu kwa kumwalika huyu "kihiyo" aitwaye Moses. Huyu siyo mchambuzi na hawezi kuwa. Hajui anachoongea, zaidi ni hasira hasira tu za kipuuzi akiulizwa swali gumu. Tafadhali, usimwalike tena kwenye kipindi. Kama huna watu wengine bora uchambuzi uufanye we mwenyewe au kipindi kiahirishwe.

mkuu asante mkuu kuliona hilo halina data kabisa kwa mfano lilikuwa linashadadia mwana halisi----------- ifungiwe kipindi cha huko nyuma.nyambafu kabisa hili
 
huyu naye anaona amepost jambo la maana? kungekuwa na kipimo cha kuangalia umri,elimu,akili na malezi jamiiforum ingesaidia sana kuchuja watu wa hovyo hovyo. hasa kama huyu wa div 5
Magwiji watafiti wasomi akina Kothari, Fisher, Sounder et al sijawahi kusoma bandiko lao linalotoa conclusion kama wewe ulivyo ni bambika Div 5 na wewe mwenyewe kujinyakulia hadhi ya uprofesa! Sasa kama wasomi wetu ndo akina nyie mnaotaka kutuaminisha kuwa changamoto na matatizo ya Tanzania si Kupanda kwa gharama za maisha, matumizi mabaya ya rasilimali za taifa, ujangili, mifumo mibaya kandamizi kwa wazawa nzuri kwa wawekezaji uchwara BALI ni HATI ya muungano!!!! najitoa katika mjadala na wewe MSOMI unaendeshwa kama robot...
 
Dotto ni kweli, tusiwape nafasi watu ambao uelewa wao ni mdogo sana kama Moses, ni kusaidia taifa lianguke kwa kufanya hivyo, ni vema pamoja na kubalansi discussion tuwe kwanza tunasimamia ukweli na haki,taaluma kama haikidhi haja za jamii, inafaa nini???? tubalansi discussion kwa kuwa na mtu kama Moses???? Moses???? it is pathetic .
 
Atetea kugushiwa kwa Saini za Nyerere na Msekwa, Wanahabari wenzake na wananchi wamshangaa uwezo wake na uelewa wake wa mambo, Edwin amvaa uso kwa uso, ajibu kwa muita Edwin ni bwana mdogo, Je Moses ndo yule au kila mtanzania ananunulika???

Moses ameshabikia vitu vya hovyo kibao ikiwemo, waandishi kunyimwa habari eti baada ya kamati kujadili ndo wanakamati wawasiimue waandishi. Abeid apinga kabisa suala hilo na kusema ameathirika ktk utendaji, amedai wamechujwa kwa kina, kamati na.6 wasira amekaa kimya sku 3 hiyo inakuwaje?? ampongeza kilango kwa kujitahidi kutoa habari mapema

Nawasilisha

wivu wa nini Mbweha wewe
 
lingulasi unafaa kuwa housegirl wangu, nikupe hiyo ajira??? sina wivu ila ujasiri kusema ukweli
 
Back
Top Bottom