Jicho lililopotea

Ukiacha jicho...

Wamama wana misonyo fulani hivi halafu kila msonyo na maana yake, kuna msonyo mmoja huo mrefuuuu una mlio kama starter inayozingua, halafu lazima uambatane na kurushiwa kitu chochote kipo karibu hapo...
😅😅😅, kuna wamama wana mkono mwepesi kama upo karibu naye lazima akupapase kidogo, kama upo mbali naye utarushiwa chochote kilicho karibu.
 
Miaka hii hata hao watoto hawathubutu kukutazama machoni, zamani tulikuwa innocent, hata tabia ya mtu iliandikwa ndani ya macho yake.
 
 
Kina mama Junior wataweza wapi mambo Yale?
Si ndio Hawa wako busy kutaka tuwasaidie toilet training ya watoto!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…