Wadau muda huu star tv kuna kipindi cha jicho letu ndani ya habari....wanajadili mambo mengi yalojitokeza kwenye vichwa vya habari vya magazeti mbali mbali ikiwamo suala la ushoga.
Lakini tuongee ukweli, kwani ni uongo cuf hawako kwenye mlengo wa kiliberali, maana waling'aka bungeni, kubalini yaishe mnakataa wakati ujumbe umefika..daah...!wenje... Rahaaaaaa......!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.