Jumakidogo
R I P
- Jul 16, 2009
- 1,851
- 417
- Thread starter
- #21
Kinyaaaa!!!!!!!!!!!
Naona CCM mko bize kufanya Shopping for a POSSIBLE CRIMINAL ON-SALE to come and stand in for you guys presumably at a pay lakini katika hili la Dr Ulimboka ...!!!!
Si kila unapotoa hoja ya kupingana na maoni ya pro CDM basi unakuwa C CM. Ukiambiwa utoe sababu za msingi za serikali kutaka kumuua Dr Ulimboka hali ya kuwa kuna mamia ya madaktari utatoa sababu ipi? Ushabiki wa kijinga kama huu unatupeleka mbali na wauaji.