Lupamba's grandson
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,230
- 1,199
- Thread starter
- #21
MoyoHahaha
Usiumwe jamani mie nitakufwa ujue... Nakumiss zaidi mdogo ake mimi
MoyoHahaha
Usiumwe jamani mie nitakufwa ujue... Nakumiss zaidi mdogo ake mimi
Wa nani tenaMoyo
NipoMama upo
Mwenyewe toka asubuhi nakusaka nikupe walau salamu tuuHaya sista
Maana sasa imebid nianze kuzisaka nyuzi ambazo upo, ili nikuone.
HahahaKah na huku nako umenifuata
Uyu haitwi moyo bhana!Moyo
Skuepo ungepata shda kunionaMwenyewe toka asubuhi nakusaka nikupe walau salamu tuu
Amenifananisha na nani tena huyo broda!!!Uyu haitwi moyo bhana!
Sja juaAmenifananisha na nani tena huyo broda!!!
Umeanza tabia ya kutorola eeeh... Kwa nini wanitesa lakiniSkuepo ungepata shda kuniona
HahahaSja jua![]()
Yafaa ajieleze tujue
AahUmeanza tabia ya kutorola eeeh... Kwa nini wanitesa lakini
Ngoja ni dili naye hapaHahaha
Ngoja nikuachie umsikilize, si unajua nimekazwa kucheza na wavulana eeeh
Hapana wakwetu nimefikiri kwa sauti!Vip wakwetu yamekukuta nini
Unaona mambo yako sasaaAah
Kdogo sku moja tuu, just toka juz bas
Asante my dear kakaNgoja ni dili naye hapa
Nimlinde dada