Jicheki na ujitathini sana

Jicheki na ujitathini sana

Lupamba's grandson

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2015
Posts
1,230
Reaction score
1,199
Ukiona umeajiriwa, ukachukua likizo ya mwezi, mwezi mzima ukiwa home hujapigiwa simu hata moja na mwajiri au mfanyakazi mwenzio kutaka msaada wako, mwezi mzima umekaa nje ya ofisi afu umerudi kila kitu kipo poa kabisa, mambo fresh kama ulivyoyaacha, afu hamna hata mfanyakazi mmoja anayesema "Wooow Thank God umerudi tena" basi ujue wewe ni MZIGO tu kwenye ofisi ya watu.

Jifunze kuwa na impact kwenye kazi za watu, usipokuwepo kila mtu hadi bosi wako kichwa kimuume.
Mabadiliko yaanze na wewe!!
...

Don't shoot me!
 
Back
Top Bottom