livewise1
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 837
- 972
Nikutumie na ya kutolea?!Baby nakuomba elfu hamsini,
Jibu kama mwanaume/ mwanamke ulie choka kuombwa pesa hovyo hovyo !!
View attachment 1109345
Baada ya hapo natulia kamda...akinitafta namwambia nishatuma ila nimekosea muamala.
Siku imepita.