Jibu

Jibu

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,473
Reaction score
4,007
Baby nakuomba elfu hamsini,

Jibu kama mwanaume/ mwanamke ulie choka kuombwa pesa hovyo hovyo !!

gh.jpg
 
Sikuskii vzr unasemaje? Mtandao unasumbua ngoja ntakutafuta bdae... ndukiiiiii napiga na block akafie mbali na njaa zake
 
Baby nakuomba elfu hamsini,
Si juzi tu nimekupa hela ww...acha mzaha na hela hiki sio kipindi cha JK hela ni adimu...pumbavu...na nimesema hayo mawigi sitaki kukuona nayo mana najua ndo yanakumalizia hela..shenzi kabisa
 
Kabla ya kujibu naomba kuuliza. Huyo pichani ndiye anaomba au huyu ninaewaza kwenye fikra zangu?
 
Picha zimenogesha uzi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Back
Top Bottom