Jibu swali hili pasipo chuki, fitna, uonevu ama upendeleo, Unampa asilimia ngapi Mbunge wako?

Waache chuki, watu wanatakiwa wawe wakweli?
 
Mi natoa athmini ya wabunge hawa ambapo ninashi MBUNGE wa Dodoma mjini PETER ANTONY MAVUNDE anatimiza wajibu wake kwa 99.5%
ila wa huku pwapwapwa mmh Kama hayupo kabisaaaaaaaaaa
 
Hii ni fikirishi, na hii kazi halmashauri wanajitosheleza. Hawa jamaa wanatumalizia pesa za maendeleo bure.
 
Awamu hii mbunge hana influence yoyote kwa maendeleo ya wananchi
Labda uulize kuhusu mkuu wa wilaya au mkoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…