Jibu swali hili pasipo chuki, fitna, uonevu ama upendeleo, Unampa asilimia ngapi Mbunge wako?

nimekuita boya kabisa in advance kama ukiwaza au kuitoa hiyo avatar kazi kwako.

Screenshot_2019-04-02-20-05-37.jpeg
 
Mimi nafikiri hatuna tena sababu ya kuwa na muwakilishi (mbunge) mmoja. Nafikiri wawe wa muda na kwa ajili ya sababu maalumu na kila wakati wawe wanachaguliwa hiyo shughuli ya kiuwakilishi ikiisha na uwakilishi wao unaisha. Hatuwezi kuwa na wawakilishi ambao ni jack of all trades. Ikiwa ni mambo ya bajeti aende akatuwakilishe muhasibu, ikiwa ni mambo ya sheria aende akatuwakilishe mwanasheria, ikiwa ni mambo ya kawaida waende hao wenye elimu ya darasa la saba. Nafikiri tuache kukariri, wachaguliwe kwa sababu fulani na sababu hiyo ikiisha uwakilishi wao uishe hapo hapo. Mathalani hakuna vikao vya bunge hao wabunge wanawawakilisha wananchi kwenye kitu gani? labda huko mnadani kwenda kula nyama
Umesema kweli bro, lkn wabunge ndio watunga Sheria, huku wengi wao hawana taaluma ya Sheria kabisa, unadhani wahusika watakubali? Si ulimwona wa arumeru mashariki alitoa machozi akililia Jimbo lake?
 
Kwako mleta mada, nafikiri umeona mwenyewe jinsi watu wanavyoendeshwa na chuki ambayo uliizuia, kuna watu wawili wote wa mbeya mjini, mmoja ametoa 100% mwingine ametoa 0.0001% kwa mbunge wao,
Mimi niko Msalala, Mbunge wa huku Nampa 0.0000%, asante kwa mada yako nzuri
 
Back
Top Bottom