Jibu swali hili pasipo chuki, fitna, uonevu ama upendeleo, Unampa asilimia ngapi Mbunge wako?

Mimi mbunge wangu ni wa CCM jimbo la NKENGE lakini hana lolote isipokuwa juhudi tu binafsi za watu
 
Vedastus Manyinyi Mathayo, mbunge wa musoma mjini kupitia CCM hakuna alichofanya mpaka sasa hivi...

Mji umerudi nyuma mno...
 
Mi natoa athmini ya wabunge hawa ambapo ninashi MBUNGE wa Dodoma mjini PETER ANTONY MAVUNDE anatimiza wajibu wake kwa 99.5%
ila wa huku pwapwapwa mmh Kama hayupo kabisaaaaaaaaaa
Na Jimbo la speaker
 
Me naona bora uchaguzi ufanyike 2025 maana pesa zinapotea bure wakati washindi wanajulikana.

Mtazamo binafsi huu.
 
Back
Top Bottom