Jibu swali hili pasipo chuki, fitna, uonevu ama upendeleo, Unampa asilimia ngapi Mbunge wako?

cha1509

JF-Expert Member
Jul 6, 2018
258
500
SWALI

Unampa asilimia ngapi Mbunge wako kwa uwakilishi wake na ubunifu wake katika kuleta maendeleo katika jimbo lako?

*Usisahau kutaja Jimbo lako*
 

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
28,845
2,000
nimependa hii mbunu sorry mbino aaargg mbonu shiit mbinu uliyoitumia kufanya uwakilishi wako.
......tehteehh
Screenshot_2019-04-02-20-05-37.jpeg
 

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
5,431
2,000
Mimi nafikiri hatuna tena sababu ya kuwa na muwakilishi (mbunge) mmoja. Nafikiri wawe wa muda na kwa ajili ya sababu maalumu na kila wakati wawe wanachaguliwa hiyo shughuli ya kiuwakilishi ikiisha na uwakilishi wao unaisha. Hatuwezi kuwa na wawakilishi ambao ni jack of all trades. Ikiwa ni mambo ya bajeti aende akatuwakilishe muhasibu, ikiwa ni mambo ya sheria aende akatuwakilishe mwanasheria, ikiwa ni mambo ya kawaida waende hao wenye elimu ya darasa la saba. Nafikiri tuache kukariri, wachaguliwe kwa sababu fulani na sababu hiyo ikiisha uwakilishi wao uishe hapo hapo. Mathalani hakuna vikao vya bunge hao wabunge wanawawakilisha wananchi kwenye kitu gani? labda huko mnadani kwenda kula nyama
 

Ahmad Abdurahman

JF-Expert Member
Mar 5, 2016
1,866
2,000
Wa huku yeye katoa gari lake kwa ajili ya misiba. Yeye anajali tu biashara zake, eneo halina barabara nzuri,mitaa mingi hakuna maji. 30%
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom