Jibu maswali matano tu

The hammer

JF-Expert Member
May 17, 2011
2,396
1,784
1:Kuwa muongo mara zote au kuwa mkweli mara zote.

2:Kumuingilia Mbuzi mara moja bila mtu yeyote kufahamu au kumuingilia/kuingiliwa na kichaa na kila mmoja kujua ulifanya hivyo.

3:Kuwezezesha kila mmoja kuitembelea "Internet browising history" yako ya miezi 12 nyuma au kutotumia internet kwa mwaka mmoja.

4:Kuwa na uwezo wa kuona ya mbeleni au kurekebisha ya yaliyopita.

5:kuwa na nostril inayofanana na vagona au kuwa na vagina inayofanana na nostril.

6:Kusema ukweli wa mambo yako yote mabaya au kutoweza kuongea tena

7:Kuwa na uwezo kujua kwamba utakuafa lini au kuwa na uwezo wa kujua utakufaje.

8:Kuwa na penis yenye umbo kama la titi lako au titi lako kuwa na umbo kama penis.

9:Kuwa na hali ya kupiga chafya lakini haupigi kwa mwaka mmoja au kutokuwa na uwezo wa kuona kwa miezi sita.

10:Ukiwa mbele za watu utoe ushuzi unaonuka sana ila ila bila kutoa sauti yoyote au ushuzi usionuka kabisa ila kwa sauti kubwa sana.
 
bora kumwingilia mbuzi nisijulikane kuliko kumwingilia kichaa nijulikane
 
Ningekua na uwezo ningechora zombie tu ieleweke wazi nimefeli mtihani
 
Zig zag
f9d7fbf8d36e662a0beb159c6b145a73.jpg
 
bora kumwingilia mbuzi nisijulikane kuliko kumwingilia kichaa nijulikane
Ha ha ha,hapo mi simo.Hivi huko kwenye internet mna-search nini jamani na mimi nisearch huko kuvijua watu wasivotaka vijulikane.
 
Back
Top Bottom