umeona eehh alafu povu linawatoka,men wanacheat jaman asikwambie mtu,wa peke yako ni ngum aisee
Complicated ina maana hayo mahusiano hayana uhakika..it means mtu anaweza kuingia mahusiano mapya any time
If that was truly a study, Indeed, it was unethical.is one way of studying people,if they know that they are studied they hide what they are really are,they change to please the researcher....
Napendekeza your next research iwe kwenye hili suala.
Sasa unadanganya ili uwe nao 100?wa nini hao wote?
Bra-joe wewe ndio hujamwelewa Zion Daughterelewa mada wewe! Huyu dada ndiyo alidanganywa ktk tafiti yake.
Hii kali.Married But Available (MBA)
Bra-joe wewe ndio hujamwelewa Zion Daughter
Haya mambo ya kudanganya relationship status yamepitwa na wakati, mwambie mtu ukweli kama ni mkware mwenzio atakukubalia tu. Kuna watu hawajali whether wewe una mtu au huna as long as anajua anachofuata kwako. Sio kudanganya na kuanza kuumiza watu wasio na hatia.
Tubadilike jamani.
Wachache they mean it.Ila wengi wanaficha uhalisia ili wapate migegedo kirahisi.Lakini wanaosema "It's complicated" do they genuinely mean ulichosema?
yaani deciding btn many!Na wale wanaosema ni "complicated" wawekwe kundi gani?
Its complicated" inaweza kuwa na maana kuwa something is going on, but I dont want to say what it is
Inaweza pia kuwa na maana kuwa something is going on, but I dont know what it is lol.
Halafu kama ni complicated, inakuwa complicated for my own benefit, for my friends, or for the persons involved in said complicated state of affairs?
Nimekuwa nikifanya informal research online (taking facebook, jf and teentz as my cases ) I used a random sampling method na tanzania ndo hasa ilikuwa my focus.
Kweli kabisa of atleast 100 Tanzanian men I met online na tukawa friends (kaka na dada) only 10% of these men were free to state that they were in a relationship though hawakusita kupiga mzinga as ussual. Nilitumia facebook IDs tofauti kutuma friend request na kuwa na urafiki wa kuchat kwa wanaume ambao nilijua kabisa wana uhusiano but still when it came kwenye kuuliza haya na yale walisema wako single and so they proposed tuwe wapenzi...
Mwingine ilienda hadi tukaonana live just for a friendly chat, nkamfahamu kwa kiasi flani but still alisisitiza yuko single...cku moja bajaji man niliyekuwa nimezoea kumchukua anipeleke kwa huyu jamaa pindi tutembeleanapo akajikuta akiropoka kuhusu huyu demu wa jamaa . Kumbe alikuwa ananialika kwake for a dinner or whatever wakati mpenzi wake hayupo, all these alifanya kumaintain uongo wake hata kwa mtu ambae hakuwa interested kuwa inlove na yeye.
Back kwenye hoja ya msingi...ni kwanini watu hasa online wengi wao wamekuwa wakisema uongo? niko single while i am not......ni kwamba watanzania tumeamua kuukubali uongo uwe sehemu ya maisha yetu? au vitu vya online tunavichukulia kiutani utani tu hata pale ambapo una interact na mtu ambae ni wa heshima na anajiheshimu>?? Najua uongo ni everywhere but hapa case yetu ni online....
I remain solely down-to-earth for any criticism
Karibuni kwa mjadala,
Complicated ina maana hayo mahusiano hayana uhakika..it means mtu anaweza kuingia mahusiano mapya any time